Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Watutsi pengine wasingevamia rwanda kama wangekubaliwa haki yao ya kurejea kwenye nchi yao hata thread ni kama imeonesha hivo,walianza kuunda kikundi cha uasi baada ya kukataliwa kurudi rwanda na pia wakakataliwa kukaa uganda then wakajikuta stateless.Halafu ni kama huelewi maana ya genocide, genocide ni mauaji yanayofanywa kwa misingi ya kufuta uwepo wa kikundi flani kwa misingi ya dini au kabila au vitu kama hivyo so huwezi kusema kuna watu walifanya genocide kwa kujilinda,huwezi kusema kuna mtu/watu walifanya genocide kwa kujilinda kwa kuua mpaka kitoto kichanga cha siku moja au huwezi kusema kuna watu walifanya mauaji kujilinda kwa kuua raia wasiokuwa na silaha waliojificha mashuleni au makanisani.
Nashukuru kwa maelezo yako ila kuna kitu sijui unapindisha au umesahau nachokubali kweli wahutu walichinja watutsi ila ni baada ya watutsi kuanza kuchinja wahutu walipokuwa wamevamia Rwanda.....

Niweke rekodi vizuri ni kwamba walikufa watu 1,070,000 (UN) na statistics zilizopo ni kwamba watutsi mpaka vita inaanza walikuwa laki 7 na kwenye takwimu za UN inasema walipona watusi laki 3..... Sasa swali linakuja kma watutsi walikufa laki 4 kati ya vifo million 1 je hao laki 6 wengine ambao sio watutsi walikuwa kabila gani??? Si ni wahutu.....

Sasa basi kivp mseme genocide ni pale wahutu wanapoua watutsi ila mnasahau kuwa wahutu walikufa zaidi ya watutsi kwenye vita ile hilo ndio concern yangu mkuu
 
Ati unaamua kumuua jirani yako kwa sababu ya Ukabila....!
Ni ajabu na kweli.
Hapa ndipo Raisi wa Marekani Mheshimiwa Donald Trump anapokuwa mkweli kwa kusema baadhi ya Watu wa Afrika ni Ma-Shit-Holes.
Unamchinja jirani yako kwa sababu ya umbo la pua yake na mwili...!
Msikasirike basi mnapoitwa watu wa Chooni.
 
Hakuna rekodi yoyote inaonesha RPF baada ya kuvamia rwanda 1990 walichinja wahutu,mambo ya kuchinja yalianza 1994 ambayo ndio genocide tunayoizungumzia,rpf walipigana na jeshi la rwanda na ilikuwa ni vita ya kutumia silaha nzito sio mapanga,waliokuja kutumia mapanga kuchinja watu ni interahamwe sio rpf.

Kwenye upande wa statistics hakuna idadi kamili inayofahamika ya watu waliouawa kwenye genocide,inakadiriwa ni kati ya 800,000-1,000,000.Population ya watusi kuwa walikuwa 700,000 kabla ya mauaji ya kimbari nafikiri umetumia sensa ya 1991,nikukumbushe tu mkuu,hiyo sensa ilifanyika mara tu baada ya uvamizi wa rpf,ilikuwa ni sehemu ya propaganda ya serikali ya rwanda ya wakati huo hili kuonesha dunia kuwa watusi ni kakikundi ka watu wachache tu wanaotaka kuisumbua rwanda lkn kimsingi sensa ilikuwa ina mapungufu kadhaa ya kuweza kujua idadi kamili ya watusi na wahutu kwa wakati huo,watu walitambuliwa makabila kwa vitambulisho vyao lakini pia tukumbuke kuna watusi walinunua vitambulisho vya uhutu hili angalau wapate benefits kadhaa kama wahutu ambazo wangezikosa kama wangetambulika kama watusi ingawa ni kweli kuwa wahutu kwa idadi ni wengi zaidi ya watusi.

Lakini yote kwa yote mkuu,genocide haihusiki na namba,genocide ni nia ya mauaji yenyewe,genocide lazima kwanza iwe prepared kabla ya kufanywa,stori yenyewe bado haijafika kwenye genocide ila kwa upande wa rwanda,kuna ushahidi kuwa mauaji ya kimbari yalipangwa,wauaji walikuwa trained kabisa kuua kwa kutumia mapanga na silaha za jadi na tena silaha zenyewe ziliagizwa kwa shughuli iyo na list ya watu waliopaswa kuuawa ikaandaliwa so hatuwezi ku-denie uwepo wa genocide rwanda.
 
Ati unaamua kumuua jirani yako kwa sababu ya Ukabila....!
Ni ajabu na kweli.
Hapa ndipo Raisi wa Marekani Mheshimiwa Donald Trump anapokuwa mkweli kwa kusema baadhi ya Watu wa Afrika ni Ma-Shit-Holes.
Unamchinja jirani yako kwa sababu ya umbo la pua yake na mwili...!
Msikasirike basi mnapoitwa watu wa Chooni.

Chuki,visasi,ukabila,ukoloni na ujinga.
 
Chuki,visasi,ukabila,ukoloni na ujinga.
Kwa jinsi hali ilivyo, wanatakiwa kuunda tume ya pamoja ya usuluhishi na upatanishi itakayo waleta pamoja kwa lengo la kusameheana na kusahau yaliyopita ili kujenga upendo kati yao.
Jambo hili litasaidia kuondoa ile hali ya chuki ya kulipa kisasi ambayo naiona bado ipo kwa baadhi yao.
 
ni kweli kabisa
 
Hilo unalopendekeza PAKA hataki hata kulisikia,JK alitoa huo ushauri kiroho safi lakini matokeo yake ikawa vita ya maneno.
 
Hii leo JK yuko wapi na PK yuko wapi JK ilitakiwa apambane na Hali yake sio kujifanya msuluhishi wa mambo yasiomhusu ndio maana alikula za uso kavu kavu PK ajawaicheka na mbwa.
 
Ila Huyu baba yako PK ni tishio aisee, jamaa Ana akili nyingi sana....haogopi kukumaliza Ikiwa utajaribu kuingilia maslahi take

Naona Sasa amegeuka kuwa think tank wa baadhi ya marais wa east Africa...

Inasemekana Uganda ni km jamaa Ndio anaongoza Ile nchi, museveni amebaki km makamo wa Rais, kazi yake kupokea Maagizo Toka kwa PK, naogopa sana hii usije ikatukuta hapa kwetu Tanzania!
 
This is a true Man of Africa,He is a King.Proudly Rwandese.Godbless Kagame.
 
Jestkilla please ikitoka sehemu ya 9 nistue maana najua mda mwingi Uko hapa jukwaani

Kama umejua nakua mda mwingi hapa kwanini wewe usiwe wa kwanza kunistua .? Nadhani sina mda huo mchafu wa kuanza kumstua mtu asome hizi makala its better nikakae choo kichafu siku nzima sio kumstua mtu kisa makala za The Bold.
 
Back
Top Bottom