Historia ya Majini

Kuna Sura katika Uisilamu ukisomewa jina anatoka tena ataungua vibaya maana jini anawagopa sana binadamu
nayale majini yanayomkomalia binadamu hata uyasomee vip hayatoki yakikuheshim yatajifanya yametoka ikipita miezi au mwaka yanapanda tena hayo yanakuwa yametokea wapi? Sikwama shekhe wa wachungaji hayatoki mpaka mtu yule afe.
 
Kwa ninavyoelewa mimi hayo majina ni majina ya jamii za majini au ni majina yenye kukusudia aina fulani ya majini, ukisikia hayo majina si kwamba huyo jini hilo ndio jina lake bali hilo jina huwakilisha jamii ya huyo jini na kuna jamii nyingi tu za majini.

Chengine hayo majina ni binaadamu wenyewe tu ndio hutunga hayo majina na ndio maana utaona unaweza kukuta mkoa fulani wao majini aina fulani wanajina lao wanalowaita na kuna sehemu nyengine nao wanatumia jina lengine, na ukienda nchi zengine utakuta ni hivyo hivyo huwezi kukuta muarabu au mzungu anatumia jina cheketu au makata kumzungumzia jini.
 
Jini lako ni we mwenyewe aloo,ukienda kwa ustaadh ubwabwa akipata nyota yako anapakua anaauza kwa mwengine anasema ni majini yameleta barka.
Ni wanga tu
 
Je kuna mapepo?.
Majini na mapepo ndio hayo hayo, vyote ni imagination ya mwanadamu hasa pale anapokuwa amekosa maelezo ya jambo fulani. In reality, they don't exist. Imani kuhusu uwepo wa hivyo vitu imeletwa na kusambazwa zaidi na hizi dini mbili. Nje ya hizi dini mbili, hakuna hivyo vitu.
 
Uislamu ni laana, ukiwa mwislamu umelaaniwa.
 
nayale majini yanayomkomalia binadamu hata uyasomee vip hayatoki yakikuheshim yatajifanya yametoka ikipita miezi au mwaka yanapanda tena hayo yanakuwa yametokea wapi? Sikwama shekhe wa wachungaji hayatoki mpaka mtu yule afe.
Kuna mtu namjua yamemfanya kiziwi na haongei labda aongee mwenyewe mwaka wa 10 huu na ni binti yamemuachisha na shule halafu mtu anasema ni fikra zetu tu hivi wengine mnaishi mitaa ipi haya hayawapati na sisi tuje🙄
 
Katika hao wenye kufikiriwa kuwa wana majini sio wote wanakuwa wanapitia hali ya kama kupatwa na ukichaa yani kupiga kelele,kufanya fujo au kuongea ongea yasiyoeleweka. Je hao nao ni vp? Maana unaweza ukaongea na huyo mtu kwa kawaida tu kama unavyoengea kawaida na mtu mwengine.
 
Kwahiyo ili jini awe jini mzuri sharti awe muislamu na ni mchamungu na sio muislamu jina?
 
Ukimaanisha unapata! Kaa hapo uanze kuongea haya maneno mwenyewe hutojutia kamwe
Ninamaanisha vibaya mbo. Nimechoma misgumaa na ubani usiku wa manane nawaita hawaji. Choma saana udi mpaka nikaambulia mafua makali lakini kweupe.. Nisaidieni jamani ndugu yenu nipate jini zurii la kike,
Vigezo..
Liwe jeupe
Jembamba
Refu kidogo
Lenye nywele ndefu
Liwe na asili ya kiratini
Lisiwe na nyash kubwa sana.

Yeyote atakaeliona hili jini anicheki. Donge nobo la pesa litatilewa.
 
Nenda baharini mida hiyo! Hukosi chochote kitu! Kuna mdada hivi tiktok mbona alipata linalofanana naye!
 
Nenda baharini mida hiyo! Hukosi chochote kitu! Kuna mdada hivi tiktok mbona alipata linalofanana naye!
Nisije nikaenda huko nikakutana na vibaka wakanipora INIFINIKISI yangu.

Au nikakutana na majini ya kiume mambo yakawa si mambo.
 
Kama kuna mizimu(majini) na mambo yao ni tofauti na dini basi kutakuwepo majini wengine ambao wana dini mbalimbali, maana kama binaadamu wanafuata dini tofauti tofauti sioni kwanini majini nao wasiwe hivyo pia.
 
Kwahiyo ili jini awe jini mzuri sharti awe muislamu na ni mchamungu na sio muislamu jina?
Ndiyo ukweli wenyewe yaani nao walidanganywa na mashetani kama tulivyodanganywa kabla ya kuja Mtume Muhammad (S.A.w)kama Mwenyezi Mungu ana mtoto au Mungu alikuwa na msaidizi lakini nao wakaongoka kupitia Quruani wakasamehe wanashika ibada kama Waisilamu tunaswali nao misikitini na kufunga na kuhiji Makka
 
Nje hizi dini kuna imani ya kwamba kila mtu huwa na spirit guide wake, kuna imani ya kuamini uwepo wa malaika na roho za watu waliyokufa n.k na yote hayo nje ya hizi dini kwa maana kuna watu hawaamini dini ila wanaamini hivyo vitu.
 
Ushawahi kusikia kuhusu Lucid dreaming? Kwanini usijaribu hiyo njia maana utaweza ku experience chochote kile unachotaka kwenye ndoto yani vile unavyotaka ndio inavyotokea bila mipaka hata ukimtaka mwanamke yeyote yule.
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…