Historia ya Majini

Historia ya Majini

maandamano

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2025
Posts
652
Reaction score
1,388
Watu hujiuliza wana uhusiano na Waisilamu,Waisilamu Wanafuga Majini?

Majini ni viumbe wa Mwenyezi Mungu wameumbwa miaka 2000 iliyopita kabla ya kuumbwa mwanadamu,wao wanatuona sisi hatuwaoni,Jini ameumbwa kutokana na moto binadamu ameumbwa kutokana na mchanga na maraika wameubwa kutokana na nuru na kuna tofauti kati ya jini na shetani,jini akiwa mbaya anaitwa shetani

Majini huka wapi?majini wanapenda kuishi sehemu tulivu ambazo hawakai watu,vilevile wanapenda kukaa katika misitu mikubwa na majabali,vilevile wanaweza kukaa pamoja na watu majumbani mwao. Wengine wanapendelea kukaa chooni, lakini hawakai chooni wale majini waisilamu bali ni wale makafiri wachafu ambao wanapenda vitu najisi vichafuvichafu. Ndiyo maana kwa Waisilamu kuna dua huwa inafundishwa ambayo unapoingia chooni inabidi uisome ili usipatwe na jini, na sehemu za baharini majini wanapendelea sana kuishi

Na kuna aina tatu ya majini aina ya kwanza majini wenye mabawa na wanaweze kuruka,
aina ya pili ni wale ambao unaweza kuona joka au ng'e,. Aina ya tatu ni wale ambao wana hamahama kwenda maumbile mengine na majini nao wana sheria ambazo zinawabana kama binadamu. Mfano wanapaswa kumtii Mungu na kuswali. Wanapaswa kumtii mtume kama vile binadamu tunavyofanya, kwenda Makka kama sisi tunavyofanya, kama vile Muisilamu inavyobidi kufanya na majini nao inabidi kufanya hivyo

Majini wanawagopa sana binadamu tofauti na binadamu wanavyowagopa, na ukiwaogopa unawapa kichwa, na ndiyo maana katika Uisilamu kuna dua za kujikinga na majini, na wana tabia kama unavyoziona za wanadamu. Kuna majini wacha Mungu, wezi, malaya mashoga, na hata washirikina. Yaani kila tabia uliyonayo mwanadamu basi na majini wanayo
 
Watu hujiuliza wanauhusiano na Waisilamu,Waisilamu Wanafuga Majini?
Majini ni viumbe wa Mwenyezi Mungu wameumwa miaka 2000 iliyopita kabla ya kuumbwa mwanadamu,wao wanatuona sisi hatuwaoni,Jini ameumbwa kutokana na moto binadamu ameumbwa kutokana na mchanga na maraika wameubwa kutokana na nuru na kuna tofauti kati ya jini na shetani,jini akiwa mbaya anaitwa shetani

Majini huka wapi?majini wanapenda kuishi sehemu tulivu ambazo hawakai watu,vilevile wanapenda kukaa katika misitu mikubwa na majabali,vilevile wanaweza kukaa pamoja na watu majumbani mwao,wengine wanapendelea kukaa chooni,lakini hawakai chooni wale majini waisilamu bali ni wale makafiri wachafu ambao wanapenda vitu najisi vichafuvichafu,ndiyo maana kwa Waisilamu kuna dua huwa inafundishwa ambayo unapoingia chooni inabidi uisome ili usipatwe na jini,na sehemu za baharini majini wanapendelea sana kuishi

Na kuna aina tatu ya majini aina ya kwanza majini wenye mabawa na wanaweze kuruka,
aina ya pili ni wale ambao unaweza kuona joka au in'nge,aina ya tatu ni wale ambao wana hamahama kwenda maumbile mengine na majini nao wanasheria ambazo zinawabana kama binadamu mfano wanapaswa kumtii Mungu kuswali,wanapaswa kumtii mtume kama vile binadamu tunavyofanya,kwenda Makka kama sisi tunavyofanya,kama vile Muisilamu inavyobidi kufanya na majini nao inabidi kufanya hivyo

Majini wanawagopa sana binadamu tofauti na binadamu wanavyowagopa,na ukiwaogopa unawapa kichwa,na ndiyo maana katika Uisilamu kuna dua za kujikinga na majini,na wanatabia kama unavyoziona za wanadamu,kuna wacha Mungu,wezi,malaya mashoga washirikina yaani kila tabia uliyonayo mwanadamu basi na majini wanayo
Swadakta
 
Ibilisi, aliyekataa kumsujudia Adam ni jini, so majinni wapo kabla ya binadam
 
Majini wanawagopa sana binadamu tofauti na binadamu wanavyowagopa,na ukiwaogopa unawapa kichwa,na ndiyo maana katika Uisilamu kuna dua za kujikinga na majini,na wanatabia kama unavyoziona za wanadamu,kuna wacha Mungu,wezi,malaya mashoga washirikina yaani kila tabia uliyonayo mwanadamu basi na majini wanayo
Rakims
 
Vp kama mtu anayo hayo majini mabaya anawezaje kuyatoa...kuna ndoto nimekua nikiota namuota Nyoka mkubwa bila shaka huyu ni jini ninae
 
Majini haya-exist. Ni imaginations za watu tu na zilinzia middle east.
Akili huna.,.Hata mchungaji wako ana acknowledge uwepo wao....Yesu mwenyewe kwenye biblia amenukuliwa akifanya exorcism kwa mtu aliyekuwa possessed na majini...!!

Vp mjadala wa Yesu na Iblis pindi ambacho Iblis alikuwa akishawishi yesu apande juu mnarani kisha ajitupe chini ili aone kama atakufa ama laa?
 
Back
Top Bottom