Historia ya Lucifer

Jamaa anakusanya nadharia mbalimbali na kudokoa dokoa anachotaka ndio maana utaona unarudi nyuma mara mbele na contradictions humo humo, na ndio maana hasemi ni wapi anapotoa hizi story.

Hiyo sio nadharia mkuu. Kama ni nadhariq na wewe weka ya kwako. Haiingii akilini unadhani nimetunga kwa maana nadharia ni vitu vyq kutunga.
 
Mzee hii hadithi ya movie la kihindi
 
Hiyo sio nadharia mkuu. Kama ni nadhariq na wewe weka ya kwako. Haiingii akilini unadhani nimetunga kwa maana nadharia ni vitu vyq kutunga.
Ok vyovyote vile mkuu ila kikubwa ni kwamba huwa unaeleza vitu ambavyo umetoa(dokoa dokoa) kwenye vyanzo mbalimbali na kuunda kile unachoona wewe ndio sawa.
 
Ok vyovyote vile mkuu ila kikubwa ni kwamba huwa unaeleza vitu ambavyo umetoa(dokoa dokoa) kwenye vyanzo mbalimbali na kuunda kile unachoona wewe ndio sawa.

Sio kila kitu ninachoandika nimesoma, hapana vingine naelezewa live.
 
Sio kila kitu ninachoandika nimesoma, hapana vingine naelezewa live.
Sawa ila story ni zile zile tu ila zimebadilishwa na kuwa vile unavyoona wewe kuwa ni sawa iwe kwa kusoma au kuoneshwa kama unavyodai.
 
Dah!...kali hii
 
Mwanaume anaanza kupata hisia hasa za kufanya mapenzi akiwa na miaka 40 miaka hiyo mwqnaume qnqkuwa huru kiuchumi kwakuwa hakuchezea mvuto wake. Mvuto wa pesa kwa mwanaume ni shahawa alizo hifadhi ndani yq mwili wake hii ni siri nakupa.
Dah!...in maana tusioe?...au ulimaanisha tuchelewe kuoa?

Hata kama kijanq upo kazini usikimbilie kuwa nq mahusiano au kuoa. Wanawake wan nguvu sana za kiroho kuliko wanaume. Kaa mbali na wasichana usipuuze na kama wewe ni msichana na huna nguvu ya kutenda yasiyo ya kawaida jichunge sana.
 
Dah!...in maana tusioe?...au ulimaanisha tuchelewe kuoa?

Kama unataka kufa mapema
Wewe oa. Nguvu ya mwanaume ipo katika mbegu zake za uzazi hujawahi kujiuliza kwanini mwanaume ndio anakufaga wa kwanza?
 
Sikia unayo yajua kuhusu lucifa ni summary ndogo sana lkn wangeandika yoooote kuhusu shetani dunia isingetosha kubeba vitabu...hata wewe usingeweza kuyasoma kwa umri wote wa miaka ya uhai wako yako.sawa??
 
Kama unataka kufa mapema
Wewe oa. Nguvu ya mwanaume ipo katika mbegu zake za uzazi hujawahi kujiuliza kwanini mwanaume ndio anakufaga wa kwanza?
Tusipooa tutaishia kuzini
 
Ndugu hiki kizazi cha milenium hakiwezi kukuelewa sababu kimeshachukuliwa nafsi zao kipo tupu kwenye fikra
 
Wanawake wengi ni mawakala wa kuzimu mchana wapo duniani usiku wanarudi kuzimu.
Kufanya hovyo ngono na makahaba malaya ni kuuza nafsi yako. Watu wengi awaelewi kwann Wana mikosi ktk maisha yao
 
Masimulizi mengine sio tu vihoja ni uwendawazimu

Narudia tena ni uwendawazimu kwa mtu mwenye akili timamu anayeishi karne ya 21 kuamini masimulizi ya aina hii

Haya mambo ngumu kuyaelewa kwa elimu ya kawaida
 
Wanawake wengi ni mawakala wa kuzimu mchana wapo duniani usiku wanarudi kuzimu.
Kufanya hovyo ngono na makahaba malaya ni kuuza nafsi yako. Watu wengi awaelewi kwann Wana mikosi ktk maisha yao

Nilishawahi kuwa na mwanamke mmoja hivi usiku nikaamka cha kushangaza nilimuamsha mda mrefu hakuamka nikajua labda kafa. Ikibidi nitoke nje kuamsha majirani tunarudi ndani tunamkuta kaamka kitanda chote kimelowa maji niliyo mwagia nilishangaa ila badae nikajua siri yake. Siku ingine nikaamka usiku nikakuta ananiangalia usoni nilichoka nikamwambia we mwanga?
 
Sikia unayo yajua kuhusu lucifa ni summary ndogo sana lkn wangeandika yoooote kuhusu shetani dunia isingetosha kubeba vitabu...hata wewe usingeweza kuyasoma kwa umri wote wa miaka ya uhai wako yako.sawa??

Hata haya tu yanatosha kwa mtu mwenye kujitambua kuelewa nini kinaendelea ilichukua muda sana kufahamu. Ukijua haya kwa undani hutaishi na watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…