"Hawa ndio Old Reptilian Generation ambao wanataka kuiteka sayari ya Dunia na kufanya mauaji ya kuuwa watu wote hapa duniani. kisha wajimilikishe dunia na kuwafanya binadamu watu kuwa watumwa hii ndiyo new world order"
HEBU RUDIA KUSOMA HUO UPUUZI ULIOANDIKA HAPO JUU HALAFU FUTA UZI WAKO HARAKA SANA. YAANI WATUUE WOTE THEN WATUFANYE WATUMWA.
Kama unajihisi upo in deep shit na mambo yako hayaendi kama unavyotaka, basi fanya jambo moja. Abstain from sex/masturbation for 40 days then uanze kufanya analysis ya mendeleo yako kuanzia hapo.