Historia ya kisiwa cha Mafia

Panda Mv. Nyamisati uone raha zake
Hahaaaa, ilikuwa mwaka 2012 nilipanda boti ya mbao hapo Nyamisati...baada ya kufika Simbaulanga chombo ikaanza kuingiza maji kwa chini huku kukiwa na upepo mkali. Wanaume tukashika ndo kutoa maji,hiyo safari kwangu siwezi kusahau milele.
 
Hahaha hahhahahah... JipuKubwa huo ushauri ushauri wa mshana jr uogope kama virus vya ZIKA[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hahaaaa, ilikuwa mwaka 2012 nilipanda boti ya mbao hapo Nyamisati...baada ya kufika Simbaulanga chombo ikaanza kuingiza maji kwa chini huku kukiwa na upepo mkali. Wanaume tukashika ndo kutoa maji,hiyo safari kwangu siwezi kusahau milele.

Mshana Jr hanitakii mema kabisa [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] after all unakutana na adventures. ..Simbaulanga si ndio pale mdomo wa kuingia bahari kuu,?
 
Nitarudi tena Ibiza na ile gesti inayomilikiwa na mbunge. ...mmmh gesti ile!!!kweli tembea uone
hahaha mkuu, mimi jamii forums sio mkongwe ila content zako zinafanya nipende kuingia humu,
 

Na Watu wa rufiji je ni waasili? wao hawajahamia?
 
Mafia imebadilika, moams ni night club, huyo kimario mchoma nyama kahamia kule kwenye ukumbi wa karitas, pale kwa isaya amefungua gest nyingine ina self container. Nauli boat 12500, jumlisha nauli ya mbagala nyamisati uwe na 20 elf, masaa matatu baharini
 
Hawana ubaguzi wa dini, kila ifikapo december wakatoliki huwa wana leta watoto zaidi 3000 kutoka dar na hao watoto huwa wanakuja na hizo boat za mbao
 
Ndo unaenda kutafuna huko nauli tu 40,hujala hujalala!!!! labda awe miss Tanzania
 
Kuna mtu ametokea kijiji cha chole nilivyomuuliza kabila lake akasema hana kabila. Je, ni kwel?
Huwenda ikawa kweli sababu watu wengi wa mafia ukiwauliza kabila lao watakuambia wao Washirazi na kuna baadhi ya watu wanapiga yakuwa ushirazi sio kabila bali ni race
 
Tunatamani kuja mafia tatizo hotel za huko zina gharama kubwa araf azipo nying kama kule pemba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…