pauli jm
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 391
- 278
WEISHAUPT!!! Alikuwa nanguvu sana ndani ya Illuminati.
Alizaliwa February 6.1748, nani mtoto kutoka kwenye familia ya kiyahudi. Na baba yake alifariki mwaka 1753. Kijana huyu aliingia katika mfumo wakanisa katoliki akiongozwa na Barbon.
Lckstatt alimuingiza Adamu Weishaupt, katika jumuiya yawa "Jesuits".
Lckstatt alipelekwa na majesuist akasimamie chuo chao na majukumu ya msingi aliopewa ilikuwa nikuweka mvumo muhimu katika uendeshaji wachuo hicho.
Weishaupt kwa upande wake aliendelea kitaaluma na baadae kuwa padri wa shirika la Jesuits. Akapatakuingia kwenye library ya Lcktatt nahuko alisoma vitabu vingi mbalimbali, kwenye maktaba hiyo ya Lcktatt.
Weishaupt alishawishika sana nakazi za French Philosophers. Nahii ikampelekea kusoma sheria, siasa, uchumi, na historia. Moja yamwana falsafa aliemvutia ni Voltire.
Nani huyu Voltire, aliekuwa mpinga kanisa na aliwai kuandika barua.
Kwa King Fredrick 11. (Great mason) nakatika moja ya maandishi yake ambayo yana pinga /au kupanga kudhoofisha kanisa nikama yafuatavyo.
"Lasty, when the Whole body of the church should be sufficently wcakened and infidelity storng enough, the final blow (is) to be dealty by the sword of open reientless persecutintion. A reign of terror (is) to be spread over the whole earth,and.....continue while a christian should be found obsteinate enough to adhere to christianity:
Inaaminika /au kuhakikishwa kwamba maandiko haya ndiyo yaliyo mpelekea Weishaupt, kuwa na azima yakuliaribu kanisa.
Alienda kusoma Ufaransa nakukutana na Robisphere (Baadae Robisphree ndie alieongoza French Revolution). Weishaupt alijenga urafiki na viongozi wangazi zajuu katika "French Royal court". Nakatika muingiliano huu ndipo inaaminika weishaupt alikuwa anaingizwa, taratibu kwenye ushetani.
Ambapo alifanya yafuatayo katika muingiliano huu.
Alisoma maandiko mbalimbali yaku mpinga kristo yajulikanayo kama "Maniech" ambayo yana husika sana na taratibu za utabiri wa Nyota na mazingaubwe.
Alitambulishwa kwa mganga wa huko Misri aliekuwa akiitwa "Colmer". Akasoma kazi za "Essenes" naakapata nakala za "Kalaba" Ambao ni ufunguo muhimu wa jinzi yakuwatumia majini.
Alisoma pia maandiko mbalimbali yaki Freemason, na akapanga mipango yakuanzisha jamii kama hiyo.
Alipata nafasi ya kutambulishwa kwa RothChilds(ambao wana aminika kuwa waabudu shetani) waka muamuru aachane na kanisa katoliki ili aungane na jamii za siri. Nyingine ili kutengeneza mpango wa "The New World Order".
Kwa historia hii fupi ya Weishaupt tuna pata mwanga wakumjua yeye ninani na ali simamia nini.
Weishaupt alitumia muda,wake mwingi kuji funza mambo ya kishetani.
Huwezi kutaja Freemason na Illuminati bilayaku mataja Weishaupt kwani ameshiriki sana katika mipango ya (N w o)
Nani yeye akiwa na Rothchild na Meyer ndio waazilishi na waenezi wa Order of illuminati.
Wakiwa na malengo matano(5)
1) Kuachana na mfumo ulio zoeleka wa serikali.
2) kuachana na taratibu za kuridhi.
3) kuachana na utaratibu wadini katika dunia
4) kuunda serikali moja katika Dunia
5) kupinga jinsia yeyote ya harakati katika Dunia ( Abolition of patritism).