Aliyekuwa na mke mzungu ni Eduardo mondlane, huyu Filipe Samuel Magaia alikuwa ni mkuu wa idara ya usalama ndani ya Fre limo, baada ya Felipe kuuliwa na mtu mmoja wa kuitwa Lourenço idara hii ikawa inaongozwa na Ma chel
Nalog off
da kamdada kamenitoa machozi kabisaaa!! striker hatari!! pamoja na kukamatwa kakatoroka tena!! hakakujua km katakutana na jemadari samora sasa huyu mtoto yuko wapi samora Jr!! south! kwa mama au wapi ako mleta mada tiririka bana!!
SErikali inamsaidiaje huyo mpaka sasa nataka fanya kitu hapo au na yeye alivuta na babaake siku ile kwa ndege?........
Josina alifuata nyayo za Tamara Bunke (Tania the Guerilla) mwanamapinduzi na mwambata wa Che Guevara na Selia Sanches, mwanamapinduzi na mwambata wa Fidel Castro
kushoto ni Tamara na huyu kulia ni Selia Sanches
Hasta la Victoria Siempre