Historia kidogo

Doctor Sebas

Member
Jul 19, 2017
30
41
*KUANGUKA KWA ASSYRIAN EMPIRE* 616-605 BC

Medes na Babylon ni miongoni mwa miji iliyokuwa chini ya utawala ya assyrian empire..

Ikatoea kwamba wanajamii wa Babylon wakaanzisha mapigano dhidi ya utawala wa Assyrian kutaka kujitawala..ndipo ikatokea MTU mmoja aliyeitwa *nabopolassar* kushinda na kuuchukua mji wa Babylon kutoka mikononi mwa utawala wa Assyrian.. Ndipo akawa mfalme wa Babylon .. *(king of Babylon*)

Hivyohivyo kwa upande wa mji wa medes, with wa mji huo wakiongozwa na mfalme *cyaxares* wakafanikiwa kuwashinda watawala wa Assyrian empire na kuutwa mji wa Medes,


Baadaye majeshi ya cyaxares na nabopolassar wakaungana kwa pamoja kuuangusha utawala wa Assyrian empire, ambapo walimuua king of Assyria *Kinsharishkun*

Baada ya kinsharishkun kufa akateuliwa Ashurbanipal kuwa king wa Assyria lakini hakudumu sana kwasabb alipigwa na majeshi ya Babylonian + median na kuutwaa mji wa *Nineveh* ambao ndio yalikuwa makao makuu ya Assyrian empire

Na kipindi cha mapigano hayo, Assyrian empire iliungana na misri wakiwa chini ya utawala wa pharaoh *necho II* lakini baadae walipigwa pia.




Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom