karatu ni moja ya sehemu zinazoheshimika sana katika historia ya vuguvugu la demokrasia nchini.
mimi pia najivunia kuwa chadema
Yes, kuna kazi ya kufanya majimbo yote kuwa kama karatu kisiasa, kwani ni mfano
Mimi najivunia kuwa mpinzani wa wabaya, mpenda mabadiliko, mtetea haki, mwanamapinduzi wa kweli, na mkweli.
kujivunia -uchama mwisho wake ni kuwa kama wana ccm , ukisukumwa huku unavutika, ukisukumwa huku unaenda!!!
...Maendeleo ya sehemu yeyote duniani huletwa na jamii. Kinachohitajika cha zaidi ni leadership.
...Tatizo la Tanzania si serikali kutopeleka/fanya maendeleo sehemu hii au ile, bali ni ukosefu wa leadership na uelewa mdogo wa wananchi, kwamba wao ndio wameshika hatamu za maendeleo yao.
Issue kubwa hapa ni tunatakiwa tupate chama ambacho kina sera nzuri za kuwa aminisha waTZ kwamba kama elimu itakuwa bure maana yake watu engi wataelewa mambo mengi ya afya kwa hiyo hawataugua, wataweza kujitafutia chakula wenyewe na kujenga makazi bora hatimaya baada ya miaka mitano hadi kumi Wzara ya Afya itakuwa na bajeti ndogo kuliko zote.
Maana sasa kwa hali tuliyofikia hata watanzania wanafika mahali wanaona kuwa masiki, kuishi makazi duni ni kama mpango wa mungu ile hali si kweli.
...Maendeleo ya sehemu yeyote duniani huletwa na jamii. Kinachohitajika cha zaidi ni leadership.
...Tatizo la Tanzania si serikali kutopeleka/fanya maendeleo sehemu hii au ile, bali ni ukosefu wa leadership na uelewa mdogo wa wananchi, kwamba wao ndio wameshika hatamu za maendeleo yao.
Huyu Qorro alipokumbushiwa tatizo la maji akasema sio shughuli yake yeye wala si yeye aloleta tatizo la maji na kwamba watu hawalaimishwi kuishi Kartu isiyo na amaji wanaweza kuhamia sehemu nyiongine au wakojolee ndoo zao kupata maji zaidi....jeuri yake ni uswahiba na Ben...kwa kauli hiyo alimtosa kabisa sasa hivi yuko hoi kimaisha...tunapanda nae Mwaibula