Hisia za kimapenzi zimepotea na dharaulika sana na wanawake mpaka nakosa raha

Una tatizo la nguvu za kiume, kuna wenzio wanazika mke mchana, usiku yuko kifuani kwa mwingine anakazia uchungu wa msiba.
Sina tatizo la nguvu za kiume ni hisia zimepotea mkuu.. ila mwanamke akiniliwaza faragha kwa muda wa lisaa hivi akili ikatulia moto unaenda kawaida tuu.. shida ni akili kutambua sasa hapa nipo na mwanamke haraka kama mwanzo ndiyo huo uwezo umepotea . Hisia hakuna ni mpaka nikae na mwanamke lisaa akili isearch ndiyo nakaa sawa.. wanawake hawaelewi hivyo wanadharau tuu
 
Wanawake=Mashetani
Shetani= Amekuja kuiba kuua na kuharibu

Kwahiyo

Wanawake = Wamekuja kuiba kuua na kuharibu

Kwahiyo Wanawake Wamekuja kuiba kuua na kuharibu

Ungeelewa hii formula mapema mkuu usingemsomesha ukaishia kuteseka Leo.
Tatizo sikujuaga mapema mkuu
 
Mara ngapi wamesisitiza kuhusu kumsomesha mwanamke? Sawa umeshakosea kubali uhalisia na kubaliana na yaliyotokea, jichanganye na watu mbalimbali, fanya mambo mbalimbali uliyokuwa unafurahia kuyafanya, usitafute mwanamke kwa Haraka ili kuziba pengo, fanya mazoezi na kula vizuri, pumzika, Jipende na kuwa msafi, jitoe out, au una safiri kidogo vacation, kuwa na Mtizamo chanya, muda ni mwalimu mzuri utapona tu, utakutana na mtu sahihi kwako utasahau yote haya
Asante
 
Sina tatizo la nguvu za kiume ni hisia zimepotea mkuu.. ila mwanamke akiniliwaza faragha kwa muda wa lisaa hivi akili ikatulia moto unaenda kawaida tuu.. shida ni akili kutambua sasa hapa nipo na mwanamke haraka kama mwanzo ndiyo huo uwezo umepotea . Hisia hakuna ni mpaka nikae na mwanamke lisaa akili isearch ndiyo nakaa sawa.. wanawake hawaelewi hivyo wanadharau tuu
Hapo solution ni kutangulia kwa baba kwenye makao mazuri, huna faida 🤣🤣🤣
 
Ndugu yangu kwanza pole kwa kuachwa na mtu uliyemgharamia ada za chuo na matumizi angali sio mkeo,au mwanao,....sasa twende kwenye tatizo lako la akili au saikolojia liliokupata,,,,: kuna muda labda unawaza kwamba labda una mapungufu ya maumbile ndio maana kakukimbia,la hasha mwache aende we kinachokuuma sio kwamba ameenda,bali ni zile gharama alizokugharimu maana palipo na hazina ya mtu ndipo na moyo wake ulipo,jipe muda kidogo achana na mambo za kukurupukia kila mwanamke kwa sasa,kula vizuri kunywa maji vya kutosha pata usingizi,halafu sasa iaminishe akili yako kwamba wewe ni Rijali,haijalishi maumbile yako bali iaminishe akili kwamba unaweza kulala na mwanamke yeyote kwa starehe yako binafsi na sio mtu mwingine,na unapokua na mwanamke chumba yaendeshe mapigo ya moyo wako pasipo hofu ya kuogopa kushindwa,hao madem unawashindwa kwakuwa hisia nyingi uliwekeza kwa huyo mporipori....usiruhusu demu akuvulie nguo kwanza wewe ndio umvue kuiandaa akili yako kwamba unaweza tena,utakapo weza tu siku hiyo ya kwanza basi itakua ni mwendelezo wa kufanikiwa kwako,na utafanya zaidi ya awali na kwa uzoefu niamni.......nilishapitia situation ka hio na nilifanikiwa zaidi sana

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu
 
Sina tatizo la nguvu za kiume ni hisia zimepotea mkuu.. ila mwanamke akiniliwaza faragha kwa muda wa lisaa hivi akili ikatulia moto unaenda kawaida tuu.. shida ni akili kutambua sasa hapa nipo na mwanamke haraka kama mwanzo ndiyo huo uwezo umepotea . Hisia hakuna ni mpaka nikae na mwanamke lisaa akili isearch ndiyo nakaa sawa.. wanawake hawaelewi hivyo wanadharau tuu
Kama shida ni hiyo ukiwa na pisi kali ghetto muongoze kwa stori za mapenzi na yeye akiwa mchangiaji mtapiga stori hata masaa mawili mkiwa mmelala hapo hisia utapata. Mwanamke ukimpeleka ghetto utamuongoza wewe labda awe wa kujiuza tena umelipia 5000 au 10000
 
Pole sana mkuu....usijidharau kiasi icho you are a man
Zingatia sana huo ushauri hasa kuhusu mazoezi (kegel), kula vizuri bila kusahau kunywa maji ya kutosha na ujichanganye na watu utakuwa normal tu

Mwisho kabsa jisindikize na ka wimbo ka mtumishi Ambwene Mwasongwe kanaitwa Nimeachilia naamini katakutia moyo na utaanza upya
 
Back
Top Bottom