uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,085
Sasa mbona majina mengine umefuta weka wazi. Au ndio tunaogopa.Mark the date, 25.4.2018...Mambo ni fireee!
Sasa mbona majina mengine umefuta weka wazi. Au ndio tunaogopa.Mark the date, 25.4.2018...Mambo ni fireee!
tutafanya mpango na nchi zingine maandamano ya ruhusiweHuyu siyo Mange Kimambi peke yake. She ain that bright, hata tarehe tu ya kuandamana huko ni very strategic kama Una macho yanayotazama vizuri. Na viongozi wetu wameshaongea so raia wanajua kuwa kuna maandamano yamekatazwa lakini nchi za wenzetu yameruhusiwa. Yaani mpaka marekani wameandamana. Kwa mm nionavyo Viongozi waliteleza kidogo kuyaboost. Wangekaa kimya halafu ipigwe marufuku kwa gazeti lolote kuandika kuhusu maandamano. Sasa japo inawezekana lakini kutakuwa na kazi kubwa kidogo ya kuyazuia kuliko mwanzoni endapo hayo ya hao uko nje yatafanikiwa vizuri. Ni mtazamo wangu.
Sisi huku na nani..sema mm au sisi huku na mama ako..watu wengine banaKama wamepata kibali aandamane huko, sisi huku tuko bize
Andamaneni huko sisi tunaijenga nchi mkimaliza kuandamana mtatukuts tushajenga flyover,viwanda na SRGMark the date, 25.4.2018...Mambo ni fireee!
Hao malaya ndio wanaotulisha na kutujengea barabara, reli na miundo mbinu ningine huku Bongo........BITCHES IN CLEAR HEELS MARCHING IN EXILE!
Ndio "makamanda" walivyo, yaani waogaa zaidi ya kunguru.Sasa mbona majina mengine umefuta weka wazi. Au ndio tunaogopa.
Safari hii mtaongea lugha zote huu sio UKUTA........BITCHES IN CLEAR HEELS MARCHING IN EXILE!
kwa wapinzani huku marufuku kutoa kibali,muda wote intelijensia ya polisi inaonyesha kunauvunjivu wa amaniKumbe huko nako kuna vibali? I thought ni suala la kujimwaga tu mitaani. Sasa hapa napo si waombe kibali?
Huku ukiwa tarehe 26 kule ni 25 ndio mana wakapewa kibali cha tarehe 25Huyu siyo Mange Kimambi peke yake. She ain that bright, hata tarehe tu ya kuandamana huko ni very strategic kama Una macho yanayotazama vizuri. Na viongozi wetu wameshaongea so raia wanajua kuwa kuna maandamano yamekatazwa lakini nchi za wenzetu yameruhusiwa. Yaani mpaka marekani wameandamana. Kwa mm nionavyo Viongozi waliteleza kidogo kuyaboost. Wangekaa kimya halafu ipigwe marufuku kwa gazeti lolote kuandika kuhusu maandamano. Sasa japo inawezekana lakini kutakuwa na kazi kubwa kidogo ya kuyazuia kuliko mwanzoni endapo hayo ya hao uko nje yatafanikiwa vizuri. Ni mtazamo wangu.