HISIA HAZITUFIKISHI POPOTE.

MAKA Jr

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
263
208
Katika hali ya kawaida, usipotumia miongozo iliyopo ili kufanya jambo, moja kwa moja unatumia utashi, uzoefu, na hisia binafsi.
Kwa Rais kuweka Katiba (Mwongozo) pembeni maana yake anaongoza nchi kwa hisia zake. Na kwa bahati mbaya sana watu wanaanza kuamini hisia zake, na kwa sasa kila kiongozi anatumia hisia zake tu.
Kila Boss aitwaye Boss, kwa sasa hatumii miongoza na badala yake anatumia hisia kama Mkuu.
Chonde chonde, hisia ni za muda tu, taratibu humuongoza kila mtu.
Tusijekukiaminisha kizazi kijacho kuwa ni sawa tu kuongoza hata bila kufuata Katiba.
 
Back
Top Bottom