Hisense smart tv vs TCL smart tv

taekwondo

Senior Member
Oct 6, 2016
122
206
Habari wanajamvi?Natumaini wote mu wazima wa Afya njema.Naomba kuuliza.

Kati ya hizo Smart Tv hapo juu ni ipi ina ubora na quality ya picture nzuri,kwa alie na uzoefu nazo naomba msaada.
 
Mimi natumia Hisence quality iko vizuri kabsa, ila shida iko kwenye store yao ya application wameweka vitu vya ovyo sana na huwezi kutafuta sehemu nyingine.

Kama unataka kufurahia nunua TCL android Tv 4k yenye playstore, mimi kwenye hii Hisence najihisi mfungwa maana nikitafuta kitu kwenye store yao sipati, wameniwekea youtube, netflix ndo za maaana.
 
Tcl ubora wake wa picha vipi
 
Back
Top Bottom