Usishtuke hii mada hapa ndo mahala . Tuongelee story na history za somo la hesabu.
Hili somo liikuwa moja ya changamoto kubwawangu ( Naamin wapo na wenzangu wengi tu) .Iwe nishule zamsingi sekondary au hata walieoendelanalohali "Havard" na "Oxfrd" za hapa bongo na huko majuu .
Sasa tukumbushane
- Ni mada gani ya somo hil iiikusumbua au kuichukia- Nilichukia Hesabu za Log tehteh teh
- Ni mada gani ilikuvutia- Teheteh simultenous equation
- Ni topic gani ya hesabu unadhani ni muhimu kwa wanafuziwa sekndarykuimudu ambayo ina application kwenye maisha ya kitaa Mimi nadhani ni statistcis na Probability
Haya karibu tuzungumzie anything abaut HISABATI but not real hisaati equations
Kumbe unajua jua hesabu ee! Mimi integration na differentiation ndio zilikuwa topics ninazozipenda!!nilikuwa sipendi complex numbers, Trig was tricky.
Afu functions of a single variable lol
kumbe weeee mkali . Hivi vipi kule maeneo . ile nafasi ya tatu ni yetu au tutaporwa ?Kumbe unajua jua hesabu ee! Mimi integration na differentiation ndio zilikuwa topics ninazozipenda!!
Kongosho said:nilikuwa sipendi complex numbers, Trig was tricky.
Afu functions of a single variable lol
patience96Kwa avatar yako wewe utakuwa mkaliwa wa Trig na mambo ya pythagoras theorem .Au sio MkuuMmh, hizo spelling zako! Hakuna kitu hapa!
Mi hesabu za Algebra nilizipenda... Na za Probability ziliniboa....
Mambo ya SOHCATOA yalinihusu kwa sana!
Kigawe Kikubwa cha Shirika (KKS), Kigawe Kidogo cha Shirika (KDS) MAGAZIJUTO na MAJIRA YA NUKTA na MAUMBO (hapo unatakiwa kutafuta eneo lililotiwa kivuli) alafu pai tumia 3.14