Mtoa mada na wewe mbona hujatumia logic unajua kabisa watumishi wa mahakama wanachaguliwa na mkuu logically case itakua fair!????
Raisi hawezi kushtakiwa akiwa Madarakani, Katiba inamlinda mpaka amalize Muda wake kwa Mujibu wa Katiba iliyopoNafikiri kama kuna kitu Wanasheria wanakosa ni logic ya kawaida na hapa naongelea Wanasheria wa chadema wanaongozwa na Tundu lisu hivyo sifahamu kama wanawawakilisha Wanasheria wote TZ!
Ndiyo maana nashauri pia wafundishwe somo la Hisabati ambalo litawasadia kureason zaidi klk kukariri!
Nitatoa mfano wa akina Tundu lisu & Co. unaonyesha kwamba wamekosa logic!
Wanasema Raisi wa JMTZ kavunja Sheria/Katiba ya JMTZ, sasa kama hilo ni kweli ni kwanini hawamshtaki Mahakamani kwa hilo kosa?
Dunia nzima mtu akivunja Sheria/Katiba hushitakiwa sasa kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?
Wanasema hakuna aliye juu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanavyodai
Hakuna mwana hisabati yeyote ambaye huwa ana reason, wote huwa wanakariri! 1+1=2. Kuna reason gani hapo?! Achana kabisa na wanasheria wewe! Otea mbali kabisa huo moto.!Nafikiri kama kuna kitu Wanasheria wanakosa ni logic ya kawaida na hapa naongelea Wanasheria wa chadema wanaongozwa na Tundu lisu hivyo sifahamu kama wanawawakilisha Wanasheria wote TZ!
Ndiyo maana nashauri pia wafundishwe somo la Hisabati ambalo litawasadia kureason zaidi klk kukariri!
Nitatoa mfano wa akina Tundu lisu & Co. unaonyesha kwamba wamekosa logic!
Wanasema Raisi wa JMTZ kavunja Sheria/Katiba ya JMTZ, sasa kama hilo ni kweli ni kwanini hawamshtaki Mahakamani kwa hilo kosa?
Dunia nzima mtu akivunja Sheria/Katiba hushitakiwa sasa kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?
Wanasema hakuna aliye juu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanavyodai
Sasa kama hawezi kushitakiwa ina maana hashitakiki sasa kwa nini mnasema kavunja Sheria?

Kuna watu sijui husoma Madudu gani vyuoni? Katiba hajui , afu anaropoka KATIBA!Nafikiri kama kuna kitu Wanasheria wanakosa ni logic ya kawaida na hapa naongelea Wanasheria wa chadema wanaongozwa na Tundu lisu hivyo sifahamu kama wanawawakilisha Wanasheria wote TZ!
Ndiyo maana nashauri pia wafundishwe somo la Hisabati ambalo litawasadia kureason zaidi klk kukariri!
Nitatoa mfano wa akina Tundu lisu & Co. unaonyesha kwamba wamekosa logic!
Wanasema Raisi wa JMTZ kavunja Sheria/Katiba ya JMTZ, sasa kama hilo ni kweli ni kwanini hawamshtaki Mahakamani kwa hilo kosa?
Dunia nzima mtu akivunja Sheria/Katiba hushitakiwa sasa kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?
Wanasema hakuna aliye juu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanavyodai
Mbona Le Lumumbaz mnatoa Povu sana?,kama Tundu lisu hana logical reason,embu nambie ni kesi gani mlishawahui kumshinda..Tulieni nyie Le lumumbaz & co,huu mchezo hauhitaji hasira..Cheza kwa stape utakuja kuaibika mkuu.Wameshajaribu?
Unafahamu sheria,au ulishawahia hata kupitia Katiba ya JMT.Au unafoka tuu kijuha?Na hapo ndipo hoja yangu ilipo, kama Raisi hashitakiki iweje mseme yuko chini ya Sheria? Kwa logic ya kawaida ni kwamba yoyote aliye chini ya Sheria anashitakika!
Nafikiri kama kuna kitu Wanasheria wanakosa ni logic ya kawaida na hapa naongelea Wanasheria wa chadema wanaongozwa na Tundu lisu hivyo sifahamu kama wanawawakilisha Wanasheria wote TZ!
Ndiyo maana nashauri pia wafundishwe somo la Hisabati ambalo litawasadia kureason zaidi klk kukariri!
Nitatoa mfano wa akina Tundu lisu & Co. unaonyesha kwamba wamekosa logic!
Wanasema Raisi wa JMTZ kavunja Sheria/Katiba ya JMTZ, sasa kama hilo ni kweli ni kwanini hawamshtaki Mahakamani kwa hilo kosa?
Dunia nzima mtu akivunja Sheria/Katiba hushitakiwa sasa kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?
Wanasema hakuna aliye juu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanavyodai
Hujui sheria, kapike vitumbua na kusafisha choo hapo Lumumba. Katiba inasemaje kuhusu kushtakiwa kwa rais kwa jinai na madai awapo madarakani?Nafikiri kama kuna kitu Wanasheria wanakosa ni logic ya kawaida na hapa naongelea Wanasheria wa chadema wanaongozwa na Tundu lisu hivyo sifahamu kama wanawawakilisha Wanasheria wote TZ!
Ndiyo maana nashauri pia wafundishwe somo la Hisabati ambalo litawasadia kureason zaidi klk kukariri!
Nitatoa mfano wa akina Tundu lisu & Co. unaonyesha kwamba wamekosa logic!
Wanasema Raisi wa JMTZ kavunja Sheria/Katiba ya JMTZ, sasa kama hilo ni kweli ni kwanini hawamshtaki Mahakamani kwa hilo kosa?
Dunia nzima mtu akivunja Sheria/Katiba hushitakiwa sasa kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?
Wanasema hakuna aliye juu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanavyodai
Hujui sheria, kapike vitumbua na kusafisha choo hapo Lumumba. Katiba inasemaje kuhusu kushtakiwa kwa rais kwa jinai na madai awapo madarakani?
Lumumba rudini shule!
Ndiyo upo sawa, sasa weka wazi unataka kuhalalisha nini kwa mfano?Kwa hiyo maana yake ni kwamba hashitakiki kwa Sheria ya JMTZ au kwa maneno mengine hakuna Sheria ya kumshitaki Raisi wa JMTZ, Je mi sawa nikisema hivyo kulingana na maelezo yako?