Kuvunja sheria na kuwepo sheria ya kumshtaki ni vitu viwili tofauti. Watu wanapotaka mabadiliko ya katiba hiyo ni moja ya sababu, tatizo ccm haitaki mabadiliko, wananchi wafanye nini?
Kwa akili hii inayomshauri Rais na wateule wake, hata tanzania ya vibanda hatuwezi pataNafikiri kama kuna kitu Wanasheria wanakosa ni logic ya kawaida na hapa naongelea Wanasheria wa chadema wanaongozwa na Tundu lisu hivyo sifahamu kama wanawawakilisha Wanasheria wote TZ!
Ndiyo maana nashauri pia wafundishwe somo la Hisabati ambalo litawasadia kureason zaidi klk kukariri!
Nitatoa mfano wa akina Tundu lisu & Co. unaonyesha kwamba wamekosa logic!
Wanasema Raisi wa JMTZ kavunja Sheria/Katiba ya JMTZ, sasa kama hilo ni kweli ni kwanini hawamshtaki Mahakamani kwa hilo kosa?
Dunia nzima mtu akivunja Sheria/Katiba hushitakiwa sasa kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?
Wanasema hakuna aliye juu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanavyodai
Subiri utapata majibu kwa wengine wenye muda wa kukujibu.Hapana siyo vitu tofauti, mtu yoyote anayevunja Sheria ina maana kuna Sheria iliyo juu yake na ndiyo maana kaivunja sasa kama hakuna Sheria ya kumshitaki iweje useme kavunja Sheria? Logic iko wapi hapo?
Ulivyosema wanasheria wasome hesabu niliona Una point kwa hesabu kwa wanasheria wengi Ni tatizo.Nafikiri kama kuna kitu Wanasheria wanakosa ni logic ya kawaida na hapa naongelea Wanasheria wa chadema wanaongozwa na Tundu lisu hivyo sifahamu kama wanawawakilisha Wanasheria wote TZ!
Ndiyo maana nashauri pia wafundishwe somo la Hisabati ambalo litawasadia kureason zaidi klk kukariri!
Nitatoa mfano wa akina Tundu lisu & Co. unaonyesha kwamba wamekosa logic!
Wanasema Raisi wa JMTZ kavunja Sheria/Katiba ya JMTZ, sasa kama hilo ni kweli ni kwanini hawamshtaki Mahakamani kwa hilo kosa?
Dunia nzima mtu akivunja Sheria/Katiba hushitakiwa sasa kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?
Wanasema hakuna aliye juu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanavyodai
Soma katiba ndo itakujibuIna maana hashitakiki siyo?
Wewe umesoma hesabu?Nafikiri kama kuna kitu Wanasheria wanakosa ni logic ya kawaida na hapa naongelea Wanasheria wa chadema wanaongozwa na Tundu lisu hivyo sifahamu kama wanawawakilisha Wanasheria wote TZ!
Ndiyo maana nashauri pia wafundishwe somo la Hisabati ambalo litawasadia kureason zaidi klk kukariri!
Nitatoa mfano wa akina Tundu lisu & Co. unaonyesha kwamba wamekosa logic!
Wanasema Raisi wa JMTZ kavunja Sheria/Katiba ya JMTZ, sasa kama hilo ni kweli ni kwanini hawamshtaki Mahakamani kwa hilo kosa?
Dunia nzima mtu akivunja Sheria/Katiba hushitakiwa sasa kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?
Wanasema hakuna aliye juu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanavyodai
Hivi ndugu yangu wewe una upeo mzuri wakufikiri kweli??? Hebu pumzikaNafikiri kama kuna kitu Wanasheria wanakosa ni logic ya kawaida na hapa naongelea Wanasheria wa chadema wanaongozwa na Tundu lisu hivyo sifahamu kama wanawawakilisha Wanasheria wote TZ!
Ndiyo maana nashauri pia wafundishwe somo la Hisabati ambalo litawasadia kureason zaidi klk kukariri!
Nitatoa mfano wa akina Tundu lisu & Co. unaonyesha kwamba wamekosa logic!
Wanasema Raisi wa JMTZ kavunja Sheria/Katiba ya JMTZ, sasa kama hilo ni kweli ni kwanini hawamshtaki Mahakamani kwa hilo kosa?
Dunia nzima mtu akivunja Sheria/Katiba hushitakiwa sasa kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?
Wanasema hakuna aliye juu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanavyodai
Unafahamu nguvu za kisheria za urais, mipaka yake na usimamiaji w milinganyo ya Executive, Legislature na Judiciary?Nafikiri kama kuna kitu Wanasheria wanakosa ni logic ya kawaida na hapa naongelea Wanasheria wa chadema wanaongozwa na Tundu lisu hivyo sifahamu kama wanawawakilisha Wanasheria wote TZ!
Ndiyo maana nashauri pia wafundishwe somo la Hisabati ambalo litawasadia kureason zaidi klk kukariri!
Nitatoa mfano wa akina Tundu lisu & Co. unaonyesha kwamba wamekosa logic!
Wanasema Raisi wa JMTZ kavunja Sheria/Katiba ya JMTZ, sasa kama hilo ni kweli ni kwanini hawamshtaki Mahakamani kwa hilo kosa?
Dunia nzima mtu akivunja Sheria/Katiba hushitakiwa sasa kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?
Wanasema hakuna aliye juu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanavyodai
Unafahamu nguvu za kisheria za urais, mipaka yake na usimamiaji w milinganyo ya Executive, Legislature na Judiciary?
Unafahamu practical challenges za kumshitaki rais katika mfumo wa sharia ambao unapata kuteuliwa na rais?
Umesikiliza hotuba ya Magufuli kwa vyombo vya sharia na maneno aliyosema?
Unafahamu kwamba strategy inaweza kufanya mtu arudi nyuma katika sehemu ambayo wengin wanaona ni pa kwenda mbele?