Hisa zamfikisha mwanandoa mahakamani

Hisa zamfikisha mwanandoa mahakamani

Hapana mkuu, inawezekana mke alimsomesha jamaa ndio maana Anataka kucontrol mshahara wa jamaa
Tatizo la wanawake baadhi ukishafunga naye ndoa wanataka wawe sehemu ya maamuzi ya mume hata kusaidia ndugu usipompa taarifa
Lazima tu akuchokoze
 
Ujinga n kufkishana mahakaman
Na mkeo ndoa ya prevent
Inakua ya public
 
ameyaweka peupe hamna ndoa tena hapo. Yahitaji huruma ya Muumba kuirejesha ndoa hiyo ktk mapenzi ya mwanzo
 
Kwa jambo kubwa kama ununuzi wa hisa ni vizuri kumshirikisha mweza wako halafu katumia mshahara wote usikuta mke kampa password ya account ya mshahara mume, Mume kazisomba zote pesa yake na ya mke wake kaenda kununua hisa wakati soko lenyewe halieleweki. Mke anadai chake hapo
 
Kiboo si kila mtu ana mshahara wake.

mumu kaamua kuwekeza, mke anaitaka fweza ingekuwa mimi ningehama nyumba alafu ningetafuta dogo dogo nioe kwa muda
Kirahisirahisi tu uhame. Nakufuata hukohuko na wanao
 
Kirahisirahisi tu uhame. Nakufuata hukohuko na wanao

kiruuuu


utakuwa umenipania kunitoa roho...

hujapenda mume awekeze ili voda wakitangaza mabilioni ya faida na wewe upatepo angalau li-billioni la kuwekeza.
 
Haahahahahhahahahahahaahahahahah lakin huyo jamaa nae anamoyo kweli yaani hisa za vodacom kweli ? 🙂
 
Sasa sijui hapo hakimu atahukumu kwa kutumia sheria gani? May be Sale of goods act...
 
Wanandoa wawili Kiagata Majiyatanga (28) na Justina Mapalala (24) wakazi wa Mtaa wa mji wa Zamani Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamejikuta wakiwaacha watu hoi baada ya Mume kupeleka hela ya Mshahara katika hisa za Vodacom.

Wananchi wa Mpanda walijukuta vinywa wazi baada ya wanandoa hao kufikishana mbele ya hakimu mkaazi mke akimlalamikia mkewe kuwa amekwenda kununua hisa bila makubaliano n
 
Mimi sishauriani na mtu ninacho amua ndio unakifata
 
Ndio shida ya kuwa darling sana kwa ke. Yaani anadhibiti mshahara wa mme kuliko mwili wake, ***** walah!
 
Back
Top Bottom