Hisa zamfikisha mwanandoa mahakamani

Sudysoko

JF-Expert Member
Aug 19, 2015
449
180
Habari wanajamvi,
Hii imetoa Mpanda, Tanzania.

Wanandoa wawili Kiagata Majiyatanga (28) na Justina Mapalala (24) wakazi wa Mtaa wa mji wa Zamani Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamejikuta wakiwaacha watu hoi baada ya Mume kupeleka hela ya Mshahara katika hisa za Vodacom.

Wananchi wa Mpanda walijukuta vinywa wazi baada ya wanandoa hao kufikishana mbele ya hakimu mkaazi mke akimlalamikia mkewe kuwa amekwenda kununua hisa bila makubaliano naye.

Tukio hilo la kufurahisha lilitokea jana majira ya saa moja na nusu mbili na nusu katika Mahakama ya mwanzo ya wilaya ya mji wa zamani mjini Mpanda na kuwaacha vinywa wazi mamia ya wakazi wa Manispaa ya mji wa Mpanda

Mwendesha mashtaka wa wilaya hiyo ndugu Sinkala John aliiambia Nipashe kuwa alipata taarifa za tukio hilo kwa mke wa Kiagata Majiyatanga kuwa mumewe mnamo tarehe 4 ya mwezi wa tano hakurudi na Mshahara nyumbani alipomuuliza ndipo ikabidi amuonyeshe makaratasi ambayo hakuelewa mara moja kuwa ni fomu za ununuzi wa hisa za Vodacom.

Mwendesha mashtaka huyo wa mahakama hiyo alieleza kuwa wapangaji walishtushwa baada ya kusikia Kelele za mzozo ndipo walipoenda kuamulia wakayasikia hayo madai kwa mke akimtuhumu mumewe kutumia mshahara wote kufanya uwekezaji kwa kununua hisa za Vodacom.

Ndioo wapangaji walipoamua kutoa taarifa kwa mjumbe wa serikali ya mtaa ambaye naye alishauri jambo hilo lipelekwe kwenye Baraza la wazee ambao walitoa taarifa kwa Mwenyekiti wa mtaa ambaye alitoa taarifa jeshi la Polisi na Kesi hiyo kufika hadi mahakamani.

Mmoja wakazi wa eneo hilo ambaye alifika mahakamani hapo aliyejitambulisha kwa jina la Pendo Hyera alieleza kuwa kabla ya tukio hilo amekuwa akisuluhisha ugomvi wa mara kwa mara wa wanandoa hapo ambapo Kiagata MajiyaTanga amekuwa na Tabia ya kufanya mambo bila kumshirikisha mkewe Bi Justina Mapalala ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Kipili.

Kaimu Kamanda wa jeshi la polisi wa Mkoa wa Katavi Mohamed Rashid amethibitisha kutokea kwa tukio hilo la kufurahisha la wanandoa hao kufikishana mahakamani kwa kosa la Mume kununua hisa bila kumshirikisha mkewe.

Wanandoa mnapotaka kununua hisa mshirikishane kama mlivyoungana kwenye Ndoa.
899d687248b232beb65513a7dc99ffea.jpg
 
Salamu zikufikie Interest ! Siku hizi akinamama wamepinda, huyu kampeleka polisi kwa kuwa hawakushauriana ingawa wewe unaona ni halali kumwachisha mkeo kazi Thubutu ati NIMPENDENANI
 
Ndoa Vodacom.jpg
 
Huu uandishi balaa
 
View attachment 507066
Jamaa kachangamkia fursa ya kuwekeza katika hisa za vodacom ili zije kuwanufaisha kwa maisha ya baadae.
 
Back
Top Bottom