Hisa za Kampuni ya bia kuuzwa kinyemela

Hisa za Kampuni ya bia kuuzwa kinyemela

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,716
Kufuatia mkutano wa kampeni ya uchaguzi leo maeneo ya kawe Mh. Mbatia amedokeza kuwa serikali imeuza hisa za kampuni ya bia Tanzania kinyemela bila kufuata taratibu ambapo hisa zote huuzwa kupitia soko la hisa la Dar es salaam yaani DSE.

Kwa mwenye taarifa atujuze hisa moja iliuzwa kwa thamani gani na hisa hizo zilikuwa ngapi? Fedha zilizopatikana inasemekana zimeenda katika gharama za kampeni ya ccm.

Kama ni kweli hili limetokea ni wazi serikali hii ya ccm inaendelea na uporaji wa mali ya umma kama ilivyozoea.
 
ndio maana tunamtaka Lowassa adili na hawa wapumbavu na majambazi!
 
Na amesema hisa hizo ni za wananchi na ziliuzwa jumla sh bilion 176 na pesa zimeenda kwenye kampeni za ccm
 
Kufuatia mkutano wa kampeni ya uchaguzi leo maeneo ya kawe Mh. Mbatia amedokeza kuwa serikali imeuza hisa za kampuni ya bia Tanzania kinyemela bila kufuata taratibu ambapo hisa zote huuzwa kupitia soko la hisa la Dar es salaam yaani DSE.

Kwa mwenye taarifa atujuze hisa moja iliuzwa kwa thamani gani na hisa hizo zilikuwa ngapi? Fedha zilizopatikana inasemekana zimeenda katika gharama za kampeni ya ccm.

Kama ni kweli hili limetokea ni wazi serikali hii ya ccm inaendelea na uporaji wa mali ya umma kama ilivyozoea.

mwenye hisa nyingi kwenye hiyo kampuni ni Lowasa na hizo ni dalili za kufilisika hadi anauza hisa maana zizini keshakomba ng'ombe wote
 
Lowassa ana hisa nyingi kuizidi Serikali?
 
Back
Top Bottom