Hilo linathibitishwa na alichoandika hapoHuyo Shaka alikuwa mwanaharamu, yaani Baba yake alimzalisha Dada yake ndio akatoka huyo Shaka,...kwahiyo Mama yake ndiye huyo huyo alikuwa Shangazi yake....Baada ya kugundua Baba yake hampendi na ana mpango wa kumrithisha uchifu mtoto halali, Shaka alimuua yule dogo halali then akaukwaa uchifu wa Zulu kimabavu....alikuwa ni mtu katili na hatari sana.