His days are numbered

  • Thread starter My Son drink water
  • Start date

My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
2,516
Points
2,000
Age
36
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
2,516 2,000
Whoever messes up with the servants of God,messes up with God himself.
The holy scriptures walk in the perfect line without wronging,the Bible says that, the servants of God are an eyeball of the LORD God,so nobody can dip his finger into an eyeball of God and stay safe.
We will soon vindicate a most weird event of all ever to take place in Tanzania.
You cannot create mockery actions against God especially on his duties and yet you merely continue being safe.
Retaliation is obligatory on such a man.
God is really,and he does greater deeds.
 
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Messages
20,675
Points
2,000
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2007
20,675 2,000
Hata akitumbuliwa bado Magu amechelewa sana na utofauti ni mdogo sana.

Kumtumbua hawezi hata kidogo, labda kama kweli hizo tapes ni fake na jamaa aombwe yaishe baada ya kutumbuliwa.

Angle nyingine ni kiburi kiburi tu. Hakuna anachosema Bashite ama kukifanya ambacho mkuu hatahusishwa.
 
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Messages
13,256
Points
2,000
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined Aug 3, 2008
13,256 2,000
Whoever messes up with the servants of God,messes up with God himself.
The holy scriptures walk in the perfect line without wronging,the Bible says that, the servants of God are an eyeball of the LORD God,so nobody can dip his finger into an eyeball of God and stay safe.
We will soon vindicate a most weird event of all ever to take place in Tanzania.
You cannot create mockery actions against God especially on his duties and yet you merely continue being safe.
Retaliation is obligatory on such a man.
God is really,and he does greater deeds.
binafsi sijakuelewa

unamaanisha tape za gwajima za uongo? uwe mpole kabisa kama ndivyo....inaweza kuwa kweli pia

Pili Mungu sio wewe, sio athumani, anachowaza yeye na wewe ni mbingu na ardhi

what if unachowaza au uneyumuwaza pia uko wrong na wewe umefanya kosa la kutumbuliwa na Mungu?

Mwache Mungu abaki nafasi yake. usimm binafsishe kama ni wa punishment na hasira utakavyo wewe!'...yaani wewe kidudu una hasira zako unataka Mungu nae awe nazo??

Mungu ni wa Rehema na Neema, akili zake hazichunguziki

Hao unaowatetea wana makosa yao, wana njia au uwazi ambao wanayafanya hayo
 
uttoh2002

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
3,962
Points
2,000
uttoh2002

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
3,962 2,000
Whoever messes up with the servants of God,messes up with God himself.
The holy scriptures walk in the perfect line without wronging,the Bible says that, the servants of God are an eyeball of the LORD God,so nobody can dip his finger into an eyeball of God and stay safe.
We will soon vindicate a most weird event of all ever to take place in Tanzania.
You cannot create mockery actions against God especially on his duties and yet you merely continue being safe.
Retaliation is obligatory on such a man.
God is really,and he does greater deeds.
Haya maandiko sio kwa watu wanaojua Kizungu tu, kiswahili ni lugha ya wote, na unakijua.....
 
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Messages
13,256
Points
2,000
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined Aug 3, 2008
13,256 2,000
Ni bora ungeishia kunitukana mimi binadamu mwenzako kuliko kumtukana Mungu,kiburi chako na dharau zako ungemalizia kwangu na siyo kwa Mungu,sasa nakupa siku saba kuanzia leo uombe toba ya rehema kwa Mungu ili akusamehe kwa kumtukana.
Usipofanya hivyo tarehe 9/5/2022 Mungu atasitisha maisha yako,na kama utaendelea kuishi baada ya hiyo tarehe basi Shetani atapewa utukufu kuliko Mungu.
Thats where you are wrong!!!....Mungu hapendi mtu afe akiwa ba dhambi!!

Mungu wa Rehema na Neema atamsamehe na atataka awe mtu wake yeye, awe muhubiri wa injili

Mungu ana 7b plu watu duniani na ana billions of angels...hapendi hata mmoja apoteee

sasa wewe akili chafu, inferior, judgemental, hasira kama ulitekwa juzi, roho mbaya ya uhuaji,Mungu angekuwa kama wewe duniani nani angeishi??

Grow up, mbele za Mungu wako wewe ni muuaji tu, mbaya zaidi kuliko aliyesambaza zile picha zenye Gwaji style
 
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
2,516
Points
2,000
Age
36
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
2,516 2,000
binafsi sijakuelewa

unamaanisha tape za gwajima za uongo? uwe mpole kabisa kama ndivyo....inaweza kuwa kweli pia

Pili Mungu sio wewe, sio athumani, anachowaza yeye na wewe ni mbingu na ardhi

what if unachowaza au uneyumuwaza pia uko wrong na wewe umefanya kosa la kutumbuliwa na Mungu?

Mwache Mungu abaki nafasi yake. usimm binafsishe kama ni wa punishment na hasira utakavyo wewe!'...yaani wewe kidudu una hasira zako unataka Mungu nae awe nazo??

Mungu ni wa Rehema na Neema, akili zake hazichunguziki

Hao unaowatetea wana makosa yao, wana njia au uwazi ambao wanayafanya hayo
Na wewe mkuu umekurupuka mno kujibu,nimesema amdhihakiye mtumishi wa Mungu anaigusa mboni ya jicho la Mungu,Mungu anajua Watumishi wake,siyo mimi wala wewe,sasa ume jump kwenye conclusion kuongelea video kivipi?
Wewe unajua ukweli upi kuhusu hiyo video? Ndo kwanza ngoma bado mbichi,tulia ukweli utajulikana,usilete ushabiki wa kitoto kwenye issue sensitive kama hii,hatima ya hili jambo kuna mshindi atapatikana tu,hakuna vita isiyo na mshindi,na Mungu husimama na wenye haki.
Sasa tutamjua mwenye haki ni nani.
 
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
2,516
Points
2,000
Age
36
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
2,516 2,000
Haya maandiko sio kwa watu wanaojua Kizungu tu, kiswahili ni lugha ya wote, na unakijua.....
Mkuu Mabeberu nisingewatendea haki kuandika kiswahili
 
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Messages
13,256
Points
2,000
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined Aug 3, 2008
13,256 2,000
Na wewe mkuu umekurupuka mno kujibu,nimesema amdhihakiye mtumishi wa Mungu anaigusa mboni ya jicho la Mungu,Mungu anajua Watumishi wake,siyo mimi wala wewe,sasa ume jump kwenye conclusion kuongelea video kivipi?
Wewe unajua ukweli upi kuhusu hiyo video? Ndo kwanza ngoma bado mbichi,tulia ukweli utajulikana,usilete ushabiki wa kitoto kwenye issue sensitive kama hii,hatima ya hili jambo kuna mshindi atapatikana tu,hakuna vita isiyo na mshindi,na Mungu husimama na wenye haki.
Sasa tutamjua mwenye haki ni nani.
kama haujui hatima yake, ngoma bado mbichi, ulianzisha thread ya nini?? motive behind ilikuwa ni nini?
 
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
2,516
Points
2,000
Age
36
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
2,516 2,000
Thats where you are wrong!!!....Mungu hapendi mtu afe akiwa ba dhambi!!

Mungu wa Rehema na Neema atamsamehe na atataka awe mtu wake yeye, awe muhubiri wa injili

Mungu ana 7b plu watu duniani na ana billions of angels...hapendi hata mmoja apoteee

sasa wewe akili chafu, inferior, judgemental, hasira kama ulitekwa juzi, roho mbaya ya uhuaji,Mungu angekuwa kama wewe duniani nani angeishi??

Grow up, mbele za Mungu wako wewe ni muuaji tu, mbaya zaidi kuliko aliyesambaza zile picha zenye Gwaji style
Mkuu nakupa ushuhuda wa mtu mpumbavu kama huyu wyatt niliyemshuhudia akimtukana Mungu ,akaambiwa atubu,akatenda kiburi,papo hapo alianguka akafa,just imagine hata wewe,mtu anakuja na matusi dhidi ya Mungu,tena kwa dharau baada ya kumtukana Mungu ananituma nikamwambie Mungu eti amfuate what a tantalize against God?
Sasa na mimi nimekubali Kutumwa na nimemwambia Mungu alichonituma huyu mpumbavu
 
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Messages
13,256
Points
2,000
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined Aug 3, 2008
13,256 2,000
Mkuu nakupa ushuhuda wa mtu mpumbavu kama huyu wyatt niliyemshuhudia akimtukana Mungu ,akaambiwa atubu,akatenda kiburi,papo hapo alianguka akafa,just imagine hata wewe,mtu anakuja na matusi dhidi ya Mungu,tena kwa dharau baada ya kumtukana Mungu ananituma nikamwambie Mungu eti amfuate what a tantalize against God?
Sasa na mimi nimekubali Kutumwa na nimemwambia Mungu alichonituma huyu mpumbavu
huyo size yako
 
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
2,516
Points
2,000
Age
36
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
2,516 2,000
kama haujui hatima yake, ngoma bado mbichi, ulianzisha thread ya nini?? motive behind ilikuwa ni nini?
Ulitaka thread ibebe maudhui gani? au kuna Restrictions za mimi kuandika thread?hata wewe unaweza kuanzisha thread unayoona inafaa,sijui tatizo lako ni nini hasa.
 
Kamwene

Kamwene

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Messages
1,130
Points
2,000
Age
21
Kamwene

Kamwene

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2016
1,130 2,000
Whoever messes up with the servants of God,messes up with God himself.
The holy scriptures walk in the perfect line without wronging,the Bible says that, the servants of God are an eyeball of the LORD God,so nobody can dip his finger into an eyeball of God and stay safe.
We will soon vindicate a most weird event of all ever to take place in Tanzania.
You cannot create mockery actions against God especially on his duties and yet you merely continue being safe.
Retaliation is obligatory on such a man.
God is really,and he does greater deeds.
To solve the problem, u need to look at it from both ends, you can not judge from one side only,my question is Gwajima not a human being?, my objection is as long as we are human beings no body is perfect, we were all created to make mistakes thats why we are constantly advised to repent.Gwajima should confess and repent he is not a God nor Mesiah so why believe in him to the point of glorifying him? Bullshit....
 
Kamwene

Kamwene

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Messages
1,130
Points
2,000
Age
21
Kamwene

Kamwene

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2016
1,130 2,000
Ni bora ungeishia kunitukana mimi binadamu mwenzako kuliko kumtukana Mungu,kiburi chako na dharau zako ungemalizia kwangu na siyo kwa Mungu,sasa nakupa siku saba kuanzia leo uombe toba ya rehema kwa Mungu ili akusamehe kwa kumtukana.
Usipofanya hivyo tarehe 9/5/2022 Mungu atasitisha maisha yako,na kama utaendelea kuishi baada ya hiyo tarehe basi Shetani atapewa utukufu kuliko Mungu.
Dah naona mmeanza kujipa mamlaka sasa
 
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
2,516
Points
2,000
Age
36
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
2,516 2,000
My son drink water?Oh no, My son drinks water!
Ooh that's an order,it's like saying that, " my daughter go to school".
 
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
2,516
Points
2,000
Age
36
My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
2,516 2,000
To solve the problem, u need to look at it from both ends, you can not judge from one side only,my question is Gwajima not a human being?, my objection is as long as we are human beings no body is perfect, we were all created to make mistakes thats why we are constantly advised to repent.Gwajima should confess and repent he is not a God nor Mesiah so why believe in him to the point of glorifying him? Bullshit....
How are you sure that Gwajima made an involvement by that Video?
 
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
4,240
Points
2,000
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
4,240 2,000
Thats where you are wrong!!!....Mungu hapendi mtu afe akiwa ba dhambi!!

Mungu wa Rehema na Neema atamsamehe na atataka awe mtu wake yeye, awe muhubiri wa injili

Mungu ana 7b plu watu duniani na ana billions of angels...hapendi hata mmoja apoteee

sasa wewe akili chafu, inferior, judgemental, hasira kama ulitekwa juzi, roho mbaya ya uhuaji,Mungu angekuwa kama wewe duniani nani angeishi??

Grow up, mbele za Mungu wako wewe ni muuaji tu, mbaya zaidi kuliko aliyesambaza zile picha zenye Gwaji style
Ezekieli 33

1 Neno la Bwana likanijia, kusema,

2 Mwanadamu, sema na wana wa watu wako, uwaambie, Hapo nitakapoleta upanga juu ya nchi, watu wa nchi hiyo wakimtwaa mtu mmoja miongoni mwao, na kumweka awe mlinzi wao;

3 ikiwa, aonapo upanga unakuja juu ya nchi hiyo, apiga tarumbeta na kuwaonya watu;

4 basi mtu awaye yote aisikiaye sauti ya tarumbeta, wala haonywi, upanga ukija na kumwondoa, damu yake itakuwa juu ya kichwa chake mwenyewe.

5 Aliisikia sauti ya tarumbeta, wala hakuonywa; damu yake itakuwa juu yake; lakini kama angalionywa, angalijiokoa roho yake.
 
Forum statistics

Threads 1,295,452
Members 498,335
Posts 31,212,503
Top