Mi bishoo tu
Senior Member
- Jun 3, 2023
- 122
- 295
Sana mkuuLunya yupo vizuri
Sana mkuuLunya yupo vizuri
Mbona haina maana? Ninachoona alihojaliwa Ni kupaka urembo kwa beat haitoki nje control yake hivyo kuongeza mvuto lakin mashairi hanaNg'atang'ata ung'atwe lianzishe ufuatwee wenzako haturembi tunasaka mkatee
Baka ubwake umeme ukatwee ushikwe upakwatwe uliwee na mateee....
Huyu dogoo hatariiii
Sent using Jamii Forums mobile app
PichaLunya yupo vizuri
PichaLunya yupo vizuri