Hip Hop ya Young Lunya ni hatari

Hip Hop ya Young Lunya ni hatari

Xavi Hernandez Alcantara

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2019
Posts
278
Reaction score
286
Nilisha wasikiliza sana Fid Q, Joh Makini, Chid Benzi, Songa, Jay Mo, Afande Sele, Niki wa pili, Stamina, Roma n.k

Baadae katika Hip Hop tunaona ujio wa vijana kama kina Country Boy, Young Killer N.k

Lakini huyu Mtu wa kuitwa Young Lunga na Hip Hop anayofanya ni hatari sana.

Ni kama unamsikiliza Meek Mill ukimsikiliza Young Lunya au T.I yule wa Live Your Life au mtu mzima Kendrick Lamar na Album yake ya DNA.

Ukisikiliza hii Freestyle seasons 2 Ni hatari.
 
ushauri staki ujana ntaacha nkizeeka'
nawala kisha nafungulia sound home theater
🔥🔥
 
  • Thanks
Reactions: Lee
na hapa ndio nilipo mshusha vyeo uwezi ,chukulia poa msodoki
Sasa msodoki anajua nini kwa huyo mwana....Sijawahi kumuelewa huyo jamaa!!Alivyotoka kwenye supa nyota promo ilimbeba sana....Lakini Sasa hivi anapumulia mipira....katoa collabo Hadi na Giggy Money...!
 
Nilisha wasikiliza sana Fid Q, Joh Makini, Chid Benzi, Songa, Jay Mo, Afande Sele, Niki wa pili, Stamina, Roma n.k

Baadae katika Hip Hop tunaona ujio wa vijana kama kina Country Boy, Young Killer N.k

Lakini huyu Mtu wa kuitwa Young Lunga na Hip Hop anayofanya ni hatari sana.

Ni kama unamsikiliza Meek Mill ukimsikiliza Young Lunya au T.I yule wa Live Your Life au mtu mzima Kendrick Lamar na Album yake ya DNA.

Ukisikiliza hii Freestyle seasons 2 Ni hatari.
Hakuna kitu hapo
 
Unadata na beat, acha kulinganisha rap ya meek mill na hicho kibana sauti
 
Jamaa ni konki rapa,,,,anaxema majiran hawalali wakisikia miguno,,,

kampa shafu mimi mars na marioo
 
Angetisha kama angeweza kuandika mistar mwenyewe me namkubal con boy huyu jamaa sema chance hajapata ila ni noma kama huamini mtafute CON BOY
 
I agree with you lunya level nyingine
Nilisha wasikiliza sana Fid Q, Joh Makini, Chid Benzi, Songa, Jay Mo, Afande Sele, Niki wa pili, Stamina, Roma n.k

Baadae katika Hip Hop tunaona ujio wa vijana kama kina Country Boy, Young Killer N.k

Lakini huyu Mtu wa kuitwa Young Lunga na Hip Hop anayofanya ni hatari sana.

Ni kama unamsikiliza Meek Mill ukimsikiliza Young Lunya au T.I yule wa Live Your Life au mtu mzima Kendrick Lamar na Album yake ya DNA.

Ukisikiliza hii Freestyle seasons 2 Ni hatari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom