Hi! Mimi ni mfuatiliaji wa nyimbo hizi wanazoita HIP HOP! Lyrics zao huwa nazipenda na most huwa zinaelezea life ya bongo ilivyo tight na mafyongo ya wakubwa! But during campain wana edit hizo songs na kufagilia chama or kiongoz ovyo! izt a HIP HOP?
hasa kwenye mathematics wa roma anakuambia ...harudishi kadi ya chama kama nakaaya.. pamoja na dr bonta anakuambia ....nauza kura yangu shilingi ngapi..
Mmmh Mkuu Hiphop???
Hao unao wasema ni wasanii tu tena wala sio ma-EMCEE!
Hiphop always remain clean... hata wakongwe walioikacha ni wao tu wamekwenda ila Hiphop ipo tu MILELE!