HIP HOP na chama chenye madaraka

Fuata upepo

Member
Aug 11, 2011
22
3
Hi! Mimi ni mfuatiliaji wa nyimbo hizi wanazoita HIP HOP! Lyrics zao huwa nazipenda na most huwa zinaelezea life ya bongo ilivyo tight na mafyongo ya wakubwa! But during campain wana edit hizo songs na kufagilia chama or kiongoz ovyo! izt a HIP HOP?
 
Njaa haina adbu mkubwa!Kibaya zaidi wenye power wanatumia njaa za watu ku retain power,,but any way!dont worry because freedom is arround the corner!
 
....................naogopa kufungiwa ningekutukana..........................

hata mimi pia...ningemtusia waliomleta duniani
 
BONTA na ROMA
hawatetereki wakisimama wamesimama.

hasa kwenye mathematics wa roma anakuambia ...harudishi kadi ya chama kama nakaaya.. pamoja na dr bonta anakuambia ....nauza kura yangu shilingi ngapi..
 
"The most potent weapon of the oppressor is the mind of the oppressed." - Steve Biko.
 
Mmmh Mkuu Hiphop???
Hao unao wasema ni wasanii tu tena wala sio ma-EMCEE!
Hiphop always remain clean... hata wakongwe walioikacha ni wao tu wamekwenda ila Hiphop ipo tu MILELE!

Wosia wa Salu T « TZhiphop

Cheki na hiyo kitu... hao ni watu wenye mawazo makubw kwenye Game... na ndio waliojenga misingi wa hichi cha leo!
Sauti ya hiphop ni sauti hai DAIMA
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom