Nani hapa anamfahamu Freddie Fox a.k.a Bumby Knuckles?? tafuteni nyimbo zake Who Knows Why na MCs Comes & MC's Go halafu mlete mrejesho hapa! Tatizo watu mnadeal sana na main stream artists ambao wanapata back-up kubwa sana ya media bila kuzingatia uwezo wao halisi.