Charles Mandela JF-Expert Member Joined Dec 9, 2011 Posts 3,636 Reaction score 3,247 Dec 3, 2022 #262 GadoTz said: Album bora ya hiphop ya muda wote ni ipi? Msanii bora wa hiphop wa muda wote ni nani? Wimbo bora wa hiphop wa muda wote? History ya hiphop Records za hiphop Tafsri ya hiphop na utamaduni wa hiphop kwa ujumla. Karibu kwa mjadala! Click to expand... Kwangu hii ndio nyimbo bora ya HIP HOP kwa muda wote.
GadoTz said: Album bora ya hiphop ya muda wote ni ipi? Msanii bora wa hiphop wa muda wote ni nani? Wimbo bora wa hiphop wa muda wote? History ya hiphop Records za hiphop Tafsri ya hiphop na utamaduni wa hiphop kwa ujumla. Karibu kwa mjadala! Click to expand... Kwangu hii ndio nyimbo bora ya HIP HOP kwa muda wote.
carnage21 JF-Expert Member Joined Jan 24, 2023 Posts 661 Reaction score 1,560 Jul 7, 2025 #263 The Off-Season ya j Cole na GNX ya Kendrick Lamar. Hizi ndio album zangu Bora za muda wote kwa upande wa hip hop kwa nazozifahamu na nilizosikiliza .
The Off-Season ya j Cole na GNX ya Kendrick Lamar. Hizi ndio album zangu Bora za muda wote kwa upande wa hip hop kwa nazozifahamu na nilizosikiliza .