Hints za interview za TA DUCE/MUCE…bio/chem/phys

Sacsosanct

Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
64
Reaction score
93
Wakuu salaam! Naomba kwa anaejua atanabaishe hints za interview za chemistry/biology/physics teaching methods kwa tutorial assistant interview kwa chuo kama DUCE. Uwa wanauliza nini zaidi? Je, wanauliza kuhusu teaching and leaning methods? Au wanajikita kwenye bio/chem/phys concepts? Mwenye idea na nature ya written na oral interview za masomo hayo kwa chuo hicho kwa interview hiyo.
 
Wakuu majibu hapa tafadhali
 
Back
Top Bottom