HIMARS ni nini?

Duh! Kumbe hao jamaa wana pesa nyingi kuliko nilivyofikiria.
 
Ukiwa maskini unafikia hatua unaona msaada ni haki yako. Huo ni upumbavu mtu anamsaidia amtakaye kwa maslahi yake.
Na chenji ya Kms kadhaa inabakia.
Linarudi tena mpaka mlandizi....
 
Ukiwa maskini unafikia hatua unaona msaada ni haki yako. Huo ni upumbavu mtu anamsaidia amtakaye kwa maslahi yake.

Linarudi tena mpaka mlandizi....
Nani amesema msaada ni haki Yako?Nimepoint kwamba,hata Ukraine angehitaji msaada au mkopo wa masharti nafuu wa miradi ya maendeleo Wala asingepewa pesa zote hizo!Ila vita,unapewa vizuri Tena unaambiwa tutajadiliana namna ya kurudisha vita ikiisha!
Matokeo yake Hadi vitukuu vinalipa deni!
 
Sasa kama hiyo hima ilishapigana adi afghanstan ilikuaje us akakimbia vita kule na kuwaacha watalebani wanatamba?
 
Sasa usimpangie mtu kitu cha kukusaidia. Tafuta pesa... Utaolewa bila mahari ukiwa na tabia hii. Na kma Ukraine hataki msaada huu aseme tu. Ila usikiwekee kuwa ni haki yako kusaidiwa....si nzuri kiafya. Kuna familia moja iliolewa na mtu mmoja kwa sababu kama hizi.😁
 
US walikuwa wanachoma dola za kimarekani million 300 kila siku kwa miaka 20 katika vita vya Afghanistan.
Haina tofauti na mechi moja ya UEFA CL Barcelona na Celtic possition 87 kwa 13 lakini barca kapigwa 2. 1
 
Kwani shida Iko wapi mkuu . Sisi zote tupo upande wa Ukraine . Just a copy and paste. Mwenyewe shida hata Hana . Kama nimekukwaza pole mkuu.
Umeandika hapa hata mimi nimesoma kwa hiyo walitaka uendelee kufichwa huko ili iweje...
 
Mkuu Nikiona element za lugha isiyo ya kiungwana,basi huwa mjadala nafungia hapo!Siku njema!
 
Aliekudanganya ni misaada nani, mikopo yote hiyo.
 
Tomahawk Ni Long Range Missile,zinarushwa kutoka kwenye Meli za Kivita. Zinapiga 2500km+.Urusi akipiga Nyuklia huko Ukraine,Basi Marekani anaipa Ukraine Tomahawk hata 500 uone Moscow itakavyowaka Moto.
Ukraine hana njia ya kulaunch hizo tomahawks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…