Hilo foleni la vodacom Mlimani city ni balaa

Hilo foleni la vodacom Mlimani city ni balaa

Gulaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
659
Reaction score
230
Wadau nimepita mlimani city kwenye sa mbili leo asubuhi hiyo foleni niliyoiona ya watu wanaonunua simu(smartphone) za vodacom ni balaa...wabongo kwa simu nzuri hatujambo afu simu unakuta hata vocha haina.
 
Nilijua itakuwa hivyo. Wabongo kwa promotion hatujambo
 
Kama wanatumia ile ofisi yao mle ndani basi ni kuwanyanyasa wateja wao, mimi nilidhani wangetenga sehemu pale nje ili kurahisisha watu kutokaa mda mrefu.
 
kapicha pleaaase ka foleni!!! usije ukawa umekuja kutangaza biashara ya smat phone za voda hapa kijanja!!!
 
hakuna ubaya wowote kutumia nafasi hizo za ofa mnaodis wanafiq.. eti mteremko kwahio nyie ndio mnapesa sana au..
 
Ngoja wanunue, uzuri wa smartphone hata wanaofanya online business bongo, software designers etc watafaidi wakipata downloaders wengi
 
hivi simu zenye akili kweli watoe pungizo la 80-90.!!!?
 
Wakuu mliopo hapo tuonane kama si mbaya, am heading hapo kushangaa!
 
changamkieni fursa hizo vijana maana huwa inatokea mara moja per decade!!

Bila shaka vijana wauza sura, masharobaro, masista duu mtakuwa mmetendewa haki sasa!!

Tupa mchina kule chukua kitu cha Smarter!!
 
mmmh! mleta mada pia ameenda kuvizia cm hizo!
 
Back
Top Bottom