Hillary Clinton anasema hivi

Wakikusikia hawa jamaa....utaujenga tu huo ukuta....mana hawaambiliki na wamesahau kuwa wanajenge sehemu iliyokatazwa.
 
Ila mie kusema ule ukweli wa kutoka chumbani kwenye moyo wangu: kama ningekuwa na haki ya kupiga kura kwenye uchaguzi ujao wa USA, kura yangu ningempa huyu dada
 
Ila mie kusema ule ukweli wa kutoka chumbani kwenye moyo wangu: kama ningekuwa na haki ya kupiga kura kwenye uchaguzi ujao wa USA, kura yangu ningempa huyu dada
dada kwa umri wako au dada kwa makamo yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…