Hiyo staili wanayoitumia hawa wamarekani inatwa balance of power huwezi kutawala sehemu yoyote ile pasipo kuwavueruga kwa njia yoyote ile wale uliotarajia kuwa tawala kwa nchi za kiarbu udhaifu wao ni dini, afrika sisi ni njaa, maradhi, elimu na umasikini wenzetu wazungu wao ni power pamoja a mali asili. Ukitaka kumjua mwamerika ni nani tuanze kuchimba mafuta, uranium pamoja na dhahabu nyeupe(platinum).