HILI TUNDA ZURI JAMANi

HILI TUNDA ZURI JAMANi

Ha ha ha.mzizi mkavu umenikumbusha jinsi tulivyokuwa tunachora tatoo kwa mafuta ya korosho utotoni.wababe tulikuwa tunasubiri mafala wakaibe kwenye mashamba ya watu then tuje kucheza kamari.ha ha haaa.
Teh teh teh!pole sana mkuu kwa kuwa umekulia kwenye mazingira ya kiuni!
 
tunda ni bibo na korosho ni mbegu,mkuu acha kupotosha!

Maana ya tunda ndio ya husika. Tunda kibiolojia ndio inayohusika na reproduction kianzia ua halafu tunda na mwisho mbegu. Kwa ufupi ndani ya tunda kuna mbegu kwa mimea ambayo mbegu haziko uchi, na bibo halina mbegu na wala huwezi lipanda likaota.

Kwenye korosho ndio kuna mbegu.
 
Kivipi mkuu,funguka zaidi mkuu!

Classiification, wote wanatoka familia ya Anacardiacea. Angalia kakufanana kidogo, majani ugumu na mng'ao wake, tunda hasa kokwa (korosho tuilayo na kokwa la embe. Google basi kidogo.
 
Back
Top Bottom