HILI TUNDA ZURI JAMANi

Tunda hapo ni korosho, bibo ni kikonyo tu. Sasa sijui tamu ni nini, maana ni mbegu ya korosho ndio inaliwa na hicho kikonyo cha njano.
 
Kuna matunda mawili habo sasa unataka tutaje lipi mkuu BIBO AU KOROSHO.
 
Ha ha ha.mzizi mkavu umenikumbusha jinsi tulivyokuwa tunachora tatoo kwa mafuta ya korosho utotoni.wababe tulikuwa tunasubiri mafala wakaibe kwenye mashamba ya watu then tuje kucheza kamari.ha ha haaa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…