Hili tunda linaitwaje vile? Long time sijala

ntashukuru babeake
 
ha ha ha @Pdiddy unamakusudi na umbo hilo!
 
Naona tunda lina makalio, na hapo kama limeinama staili ya mbuzi kula majani.
 
TUNDA la STAFELI linatibu magonjwa kadhaa, ikiwamo saratani kwa ubora wa karibu mara 10,000 ya matibabu ya kawaida yanayopatikana kwenye vituo vya afya, utafiti umebaini. Utafiti huo uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Dawa cha Purdue nchini Marekani, umeeleza kuwa mbali na kutibu saratani, tunda hilo pia ni tiba ya matatizo ya msongo na mfadhaiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…