kama ni idm 6.14 tumia hili file kucrack, hutaona tena huo ujumbe maisha, ila usiupdate, kama utaupdate basi itabidi ucrack tena.
(download attachment na utumie winrar)
Copy IDMan.exe to Install Directory (C:\Program Files\Internet Download Manager) and Replace It
Asante, lugha zenu nyingine hizi za kitalaam ngumu kuelewa kwa mtumiaji wa kawaida kama mimi, ku-crack ndo tunafanyaje mkuu, sina idea yoyote hapo, naomba nielekeze cha kufanya na hiyo file.
we copy hilo file na upest kama ilivyoelekezwa hapo juu. itakuambia file lipo we replace. hayo maneno mengine ni mbwembwe tu. kumbuka inabidi ulitoe kwenye rar hivyo inabidi uwe na software ya ku-unrarAsante, lugha zenu nyingine hizi za kitalaam ngumu kuelewa kwa mtumiaji wa kawaida kama mimi, ku-crack ndo tunafanyaje mkuu, sina idea yoyote hapo, naomba nielekeze cha kufanya na hiyo file.
Samahani waungwana, naomba kujuzwa, hivi hili tatizo la idm(internet download manager) kuleta kisanduku cha kuandika username na password kila napotaka kudownload file ni kwangu tu au ndio utaratibu wameuanzisha sasa? nimejaribu kufuata ushauri mbalimbali wa wataalam hapa jukwaani bila mafanikio. Kwangu tatizo limeanza jana, nimejaribu ku-uninstal na ku-instal upya kwa kufuata baadhi ya link zilizotolewa na watalaam hapa bila mafanikio. Naombeni msaada kwa yeyote aliye na ufumbuzi.
brother, final soln ya IDM ilitolewa humu!
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...420410-full-idm-6-15-biuld-5-hapa-chukua.html
Asante, lugha zenu nyingine hizi za kitalaam ngumu kuelewa kwa mtumiaji wa kawaida kama mimi, ku-crack ndo tunafanyaje mkuu, sina idea yoyote hapo, naomba nielekeze cha kufanya na hiyo file.
Wakuu hii kitu ya idm hii hii niliidownload na niliitumia lakini firewall ya Comodo inaidetect kama idm.exe ni danger sana sasa sijui kama kuna ujanja fulani alioufanya cracker ili kutuibia information za pc zetu au ni false positive
Wakuu muwe wepesi kusearch,
Mie nilishaweka njia ya kuhack IDM forever
we copy hilo file na upest kama ilivyoelekezwa hapo juu. itakuambia file lipo we replace. hayo maneno mengine ni mbwembwe tu. kumbuka inabidi ulitoe kwenye rar hivyo inabidi uwe na software ya ku-unrar
Asante, lugha zenu nyingine hizi za kitalaam ngumu kuelewa kwa mtumiaji wa kawaida kama mimi, ku-crack ndo tunafanyaje mkuu, sina idea yoyote hapo, naomba nielekeze cha kufanya na hiyo file.
Sijaifuatilia hiyo link, lakini ni kawaida crack mara nyingine ikaambatana na Trojans, au la hiyo Comodo huenda umeset very high security level, na kwa kuwa crack kwa kawaida ni hack tool ni sahihi Comodo kusoma positive, kwa hiyo unatakiwa uwe na uhakika na chanzo chako. Napendelea TPB kwa sababu kule kuna trusted members, na hata wadau wanacomment pale chini kama file lina matatizo unajua mapema kabla haujalishusha!
Halafu kitu kingine ambacho huwa najiuliza ni kwamba hawa watu wanaokuwa wanacomment kuhusu file fulani kwamba ni zuri au ni baya je, haiwezi kuwa njama ya wale watu wabaya wanaoharibu computer na kuiba dataAu taarifa za watu? Kwa mfano rejea kwa watu wanaochezesha kamari kamari ( huwa wana watu wao pembeni wanaojidai kama ni wateja kumbe lo!)
Likes milioni kwa hiyo mkuu nisiupdate tenaWakuu muwe wepesi kusearch,
Mie nilishaweka njia ya kuhack IDM forever