Hili tangazo la Magodoro na Jini, walifikiria nini!?

Hili tangazo la Magodoro na Jini, walifikiria nini!?

Hata me pia nashangaa sana nilionapo itv wanalitangaza hilo tangazo
 
Eti majini wazuri, ila ebu jaribu kulikemea kwa jina la Yesu uone kama litabaki
 
Tangazo lile limesababisha nichome godoro langu la sita kwa sita kwa hiyari yangu mwenyewe. Toka siku hiyo ndiyo nimegundua nguvu ya matangazo ya biashara...!
 
Majini ni viumbe kama viumbe wengine..wapo walio mashetani na wapo majini wazur tu..kama ilivyo wanaadam wapo mashetani na wapi watu safi kutokana na vitendo,elimu sio kujua bios,chemist..etc..kuna elimu ya vitu vingi so watu wajifunze waache ujinga...

Mimi kwa imani yangu..jini ni jini tu na kamwe hawezi kuwa nzuri....kama yangelikuwa .ema ni kwanini wakisikia jina Yesu yanaweweseka
 
Tangazo hili hata mimi nimeliona,na frankly na mimi limenishangaza sana.Lakini kwangu mimi tangazo hili linaashiria kitu kimoja cha msingi,jamii ya wanadamu inazidi kutegemea majini au mashetani katika maisha yao ya kila siku.Si ajabu kwamba mwaka 2008 ilikuwa litolewe tangazo rasmi, kwamba technologies nyingi tunazo tumia wanadamu chanzo chake ni majini au mashetani, kwa hiyo viumbe hivi ni 'rafiki' kwetu wanasema.Hata hivyo, tangazo hili liliahirishwa kwa sababu walisema wanadamu hawako "tayari."
Elimu Ipi inayokuambia kuwa majini ni viumbe wazuri? Kama majini ni viumbe wazuri shetani naye awe kiumbe mzuri. Jjini ni mmwagviombea viombe vya skundi la shetani. Hakuna shetani mzuri hata mmoja. Kibokmajinimajijinai jina La Yesu.hii inadhihirisha uadui uliopo kati ya Mungu na shetani.
 
Hilo tangazo ninalishangaa kila leo, hiyo dhana sijui wameitoa wapi.

hiyo wamekopi hadithi ya aladin na taa ya ajabu/aladib and the magic lamp,muwe mnasoma na vitabu vya ziada sio kiada tu ili mfaulu mitihan
 
Elimu Ipi inayokuambia kuwa majini ni viumbe wazuri? Kama majini ni viumbe wazuri shetani naye awe kiumbe mzuri. Jjini ni mmwagviombea viombe vya skundi la shetani. Hakuna shetani mzuri hata mmoja. Kibokmajinimajijinai jina La Yesu.hii inadhihirisha uadui uliopo kati ya Mungu na shetani.

kwani binadam hakuna wabaya,hakuna wanaoshawish wenzao mabaya?na hiyo elim ya kusema majin ni mashetan umeipata wap
 
nashangaa wanaosema kuna majini wazuri wakati majini wote ni kundi la shetani lililomuasi M/MUNGU likatupwa duniani sasa huo uzuri wameupata wapi au kumuasi muumba ndo uzuri? msidanganyane amkeni mliolala msifuate mapokeo fuata maneno ya MUNGU

Wewe unavyojihesabia haki na wao wanaona wako sahihi kwa 100% kama unavyojiona wewe. Hizi dini zitafakarini upya! Lah sivyo mrachinjana sana.
 
Back
Top Bottom