Hili swali la essay limenishinda msaada please

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
9,938
2,000
Aliekuuliza anaumwa!! ngoje niongee na mzee Google kidogo maana wanetu hamjiongezi ,, imagine hata kwenda google unashindwa?
ukizipata ulete hapa google mwenyewe bado anajiuliza
 
msakaa jr

JF-Expert Member
May 18, 2017
3,541
2,000
Explain key elements of development studies
Hapa ndo nachoka kabisa
Mkuu hapo anataka uoneshe yale mambo mnayo paswa kusoma(global development issues) throughout the course.
Hapo kuna masuala ya poverty reduction, economic growth,demography& population,gender, environmental degradation, education, science & technology,democracy & governance and international relations na mambo mengine kama hayo
 
toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,515

thanks boss
 
King Ngwaba

JF-Expert Member
May 15, 2016
15,955
2,000
KEY POINTS:
1) Viwanda Vya Cherahani
2) Viwanda Vya Kufyatua Watoto
3) Millions 50 Kila Kijiji
4) Computer (Lap Top) Kwa Kila Mwalim
5) Meli Ya Madaktari Wa Kichina
6) Kusamehewa Wabakaji na Walawiti
7) Kidnapping (Wanasiasa, Waandiahi, Wasanii n.k.)
8) Bomoa Bomoa
9) Kununua Wapinzani
10) Banning Mikutano Ya Opposition and rapping democracy
 
Princ

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
259
225

Inaonekana milembe kumejaa ila inabidi tukuombee nafasi.
 
Pablo

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
2,451
2,000
Explain key elements of development studies
Hapa ndo nachoka kabisa
Mbona swali simpo. Anataka uelezee kwanini kuna maendeleo ya masomo kama civcs na bios

Points ni hizi.

Israel na parestina
Jerusalem
Marekani ni mshirikina mkuu
Hajatokea kwenye kuaga miili ya wajeshi wetu
Alikuwa dodoma na walimu
PM alimuwakilisha
PM alirudi pia dodoma wakawa pamoja
Yeye kwanini hakuja?

Utamilizia conclusion itayofaa.
"Mwambie asikosee tena"
 
toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,515
2,000
Mkuu hapo anataka uoneshe yale mambo mnayo paswa kusoma(global development issues) throughout the course.
Hapo kuna masuala ya poverty reduction, economic growth,demography& population,gender, environmental degradation, education, science & technology,democracy & governance and international relations na mambo mengine kama hayo
asante sana nimelifanya tayar point km hzi
 
toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,515
2,000
ELEMENTS/CONTENT/SCOPE OF DST
1. GENDER & WOMEN EMPOWERMENT
2. SCIENCE AND TECH
3. POVERT REDUCTION
4. ENVIRONMENTAL ISSUES AND MGT
5. DEMOCRACY ANG GG
ETC.
asante sana mkuu nimeshasubmit nasubir feed back hili swali limetesa watu wote class
 
toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,515
2,000
KEY POINTS:
1) Viwanda Vya Cherahani
2) Viwanda Vya Kufyatua Watoto
3) Millions 50 Kila Kijiji
4) Computer (Lap Top) Kwa Kila Mwalim
5) Meli Ya Madaktari Wa Kichina
6) Kusamehewa Wabakaji na Walawiti
7) Kidnapping (Wanasiasa, Waandiahi, Wasanii n.k.)
8) Bomoa Bomoa
9) Kununua Wapinzani
10) Banning Mikutano Ya Opposition and rapping democracy
hahaa
 
toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,515
2,000
Mbona swali simpo. Anataka uelezee kwanini kuna maendeleo ya masomo kama civcs na bios

Points ni hizi.

Israel na parestina
Jerusalem
Marekani ni mshirikina mkuu
Hajatokea kwenye kuaga miili ya wajeshi wetu
Alikuwa dodoma na walimu
PM alimuwakilisha
PM alirudi pia dodoma wakawa pamoja
Yeye kwanini hakuja?

Utamilizia conclusion itayofaa.
"Mwambie asikosee tena"
teh
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom