Hili swali bado gumu kwangu

kama kuoga ni usafi kwa nini taulo lichafuke?
 
kama ukioga bila kujisugua lazima taulo lichafuke, alafu maji yenyewe ya kibongo bongo unaoga na maji lita 3 unategemea kutakata? alafu ukijifuta na taulo ndo unajisugua kutoa nongo.
 
kama ukioga bila kujisugua lazima taulo lichafuke, alafu maji yenyewe ya kibongo bongo unaoga na maji lita 3 unategemea kutakata? alafu ukijifuta na taulo ndo unajisugua kutoa nongo.
ina maana hata Rais hajisugui?
 
Tunaoga kupunguza uchafu..sio kuondoa uchafu
 
Au black pigments zinatoka kwenye skin tunapojifuta na taulo ndo maana taulo linachafuka?
si zingetoka wakayti wa kuoga? maana huku Tanga twatumia dodoki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…