Sababu zifuatazo huenda ndizo;
1: Ulitahili ukiwa mdogo na mkuyenge umekakamaa kama ngozi ya goti, unategemea hisia za mbunye utazihisi kirahisi?.
2: Hujatomasa unachanua!!! Yaani no romantic actions unafikiri mwili utapataje mhemuko na kujichaji?
3: Umesikia watu wakilalamika kuwahi kufika hivyo umeamua kujitangaza kuwa wewe unachelewa ili upate wateja! Kunajamaa aliwahi kusema hivyo kumbe anataka chance tu ya kugegeda, kilichotokea alihama mji.
Nini nifanye mkuu niwe kama wenzangu au kuna dawa zipo nielekeze mkuu nafedheheka kweli
Wewe hujaona nimeweka sababu tatu hapo?Namba zipi mkuu?
Hili ndo tatizo...Unatumia mihadarati au pombe kali?