Hili swala la wanaume kulala usingizi huku mnara unasoma 4G

mwanaume ucku kuwa 4G ndo inathibitisha kuwa uyo ni shababi....yaan amekamilika idara zote
 
Saa 5 na nusu Usku naomba tutengenezee siredi yetu wawili
Tutawapa faida wachonganisha, ukitaka tusambaratike kama ndoa ya kamanda wetu na dada joy jaribu kuwapa nafasi vijana wa ku_bet,nakuja kwako leo mambo live,kwangu mwenye nyumba hataki zile kelele zako
 
Back
Top Bottom