Hili suala ilinichekesha Sana

Waambie hao au walikuwa mapadri ndo maana hawazijui hizo angle.
 
Hapana sio dharau
Nmeona hata ulichoandika bado sikielew 24 yako nikakupa mdada wa 22yrs anaejitambua anakupiga knockout achana na watt hakuna challenge wanayokupa wala wanachokuongezea kwenye brain yako
Umewahi kuwa na uhusiano kipindi upo O-level au A-level?
 
24?! Sikulaumu endelea na unayoyafanya[emoji23]
Mlaumu, 24 ni umri mkubwa sana, si wa kuhangaika na binti wa O-level/A-level ambaye akili zake bado hazijajua ni nn kinamsubiri maishani.
Hawa ndo wanakataaga mimba maana uvulana bado unamsumbua.
 
Mlaumu, 24 ni umri mkubwa sana, si wa kuhangaika na binti wa O-level/A-level ambaye akili zake bado hazijajua ni nn kinamsubiri maishani.
Hawa ndo wanakataaga mimba maana uvulana bado unamsumbua.
Ndo maana nmemwambia smlaumu wavulana wengi age hio sijui akili wanapelekaga wap
 
Mlaumu, 24 ni umri mkubwa sana, si wa kuhangaika na binti wa O-level/A-level ambaye akili zake bado hazijajua ni nn kinamsubiri maishani.
Hawa ndo wanakataaga mimba maana uvulana bado unamsumbua.
Kipindi hiko nilikuwa Nina miaka 22 sio 24 ila kwa sasa Nina miaka 24.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee muache apende watoto tu kama ndo hvyo
Ukiwa single mother wa mtoto wa kike upate mume kama huyo lazima amgegede huyo mtoto. Ni hatari mnno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…