Kwani Kuna tatizo gani mwanafunzi wa chuo akawa na uhusiano na mwanafunzi wa A-level au O-level mbona hata kwenye mashuleni kulikuwa na mahusiano ya mapenzi.Huoni aibu kusema unapenda watoto
Aisee unaona sawa kabisa?!Kwani Kuna tatizo gani mwanafunzi wa chuo akawa na uhusiano na mwanafunzi wa A-level au O-level mbona hata kwenye mashuleni kulikuwa na mahusiano ya mapenzi.
Form one wanakuwa hawaja pevuka kiakili kudate na form four au A-level mbona Hakuna tatizo Kama tunaanzisha mahusiano mashuleni wanafunzi kwa wanafunzi wewe unashangaa Nini kwangu?Hhahah unapenda wanafunzi ila you drew the line asiwe wa form one hahah
Mie nakufananisha na mwizi anayeiba ndala msikitini
Unawaita watoto kwa msingi upi?Aisee unaona sawa kabisa?!
Hao si watoto?! O level?!
Uko form ngapi sasa? nimeelewa kuwa wewe ni mwanafunzi wa chuo na unapenda watoto wa A level na form fourForm one wanakuwa hawaja pevuka kiakili kudate na form four au A-level mbona Hakuna tatizo Kama tunaanzisha mahusiano mashuleni wanafunzi kwa wanafunzi wewe unashangaa Nini kwangu?
Misingi ya mentality yao siongelei maungo yaoUnawaita watoto kwa msingi upi?
Me hapa nilipo Nina miaka 24 piga na mwaka wangu wa kwanza wa chuo nilikuwa Nina miaka 22 sitofautiana kiumri Sana na wao na nimeanza kujitambua nikiwa form 4 ukishakuwa form 4 huo ni mwaka teyali wa kujitambua cos unakuwa teyali una miaka 18 na upeo wako unakuwa kidogo mkubwa.Misingi ya mentality yao siongelei maungo yao
24?! Sikulaumu endelea na unayoyafanya[emoji23]Me hapa nilipo Nina miaka 24 piga na mwaka wangu wa kwanza wa chuo nilikuwa Nina miaka 22 sitofautiana kiumri Sana na wao na nimeanza kujitambua nikiwa form 4 ukishakuwa form 4 huo ni mwaka teyali wa kujitambua cos unakuwa teyali una miaka 18 na upeo wako unakuwa kidogo mkubwa.
Sasa hivi Nina miaka 24 alafu kingine sio kwa sababu ninaogopa kuwa na uhusiano na mwanafunzi wa chuo ila me nimpenzi wa wanawake wazuri na huyo demu alikuwa mkali Sana kuliko mademu niliyowahi kuwaona ndo maana nikamtamani.Uko form ngapi sasa? nimeelewa kuwa wewe ni mwanafunzi wa chuo na unapenda watoto wa A level na form four
Mbona chuo kuna wadada wazuri tena wanajua kuoga na wamepevuka kimapenzi zaidi
Mie nimejifunza kitu ukiona mwanaume anataka visichana vidogo ujue muoga sana na hutaki kugharamia. Ila vitoto vya A level navyo vinakua vitafika umri wa kuwa matured zaidi
Innocent tafuta biashara tupige ili usiwe muoga wa kuhonga basi
Hahahah aiseeeSasa hivi Nina miaka 24 alafu kingine sio kwa sababu ninaogopa kuwa na uhusiano na mwanafunzi wa chuo ila me nimpenzi wa wanawake wazuri na huyo demu alikuwa mkali Sana kuliko mademu niliyowahi kuwaona ndo maana nikamtamani.
Ushaanza dharau sasa24?! Sikulaumu endelea na unayoyafanya[emoji23]
Hapana sio dharauUshaanza dharau sasa
Mzee wa mwaka wangu wa kwanza wa chuo nilikuwa Nina miaka 22 ila kwa sasa Nina miaka 24wakuu ficheni watoto wenu kuna mapedophile kama huyu mtoa mada.....
Mbona sioni tatizo maana mleta mada alikuwa first year. Hata mimi binafsi naweza kuwa na mwanafunzi wa A level, hawa wanachuo nakaa nao wala siwakubali kivile labda sijakutana na wakunibadilisha mentality yangu. Sanasana nafidia kwa kuwa interested na wanaosoma diploma. Labda nifike 3rd year ndo niweze kutazama 1st au 2nd.Uko form ngapi sasa? nimeelewa kuwa wewe ni mwanafunzi wa chuo na unapenda watoto wa A level na form four
Mbona chuo kuna wadada wazuri tena wanajua kuoga na wamepevuka kimapenzi zaidi
Mie nimejifunza kitu ukiona mwanaume anataka visichana vidogo ujue muoga sana na hutaki kugharamia. Ila vitoto vya A level navyo vinakua vitafika umri wa kuwa matured zaidi
Innocent tafuta biashara tupige ili usiwe muoga wa kuhonga basi