Duh kitu cha bobi
kwani mimea haina haki ya kuishi?Wanasema mbwa ndio rafiki mkubwa na mkeli kwa binadamu lakini watu wanamkula hivyo hivyo ila kwa upande flani inauma sana. Na ndio maana huwa nawakubali sana marasta ambao hawali nyama kwasababu wanasema kila kiumbe anahaki ya kuishi.
Mbona hatutumiagi km kitoweo Siku ya kuzaliwa chama chetu kumbe ni fursaMh! Tanzania watu wamekalia fursa