Hili sio Roboti bali ni mdoli mkubwa

Hili sio Roboti bali ni mdoli mkubwa

Hivi waliwaza nini? Halafu eti wakawa wanalifurahia kabisa....hii nchi
 
Takukuru wachunguze hilo mdoli ukute kuna ufisadi mkubwa umefanyika.
 
Viongozi wapuuzi kama Hawa,ni kunyongwa.

Ubepari mbaya Sana,maana Kila mbuzi hula urefu wa kwamba yake.Madhala ndo haya,hakuna anayemhoji.
Ila ukomonist,Kila mbuzi hula kipimo kimoja.
Hivyo huyo boya mpaka mda huu angekuwa TAKUKURU aelezee mantiki ya kununua vibwengo Kwa hela ya Umma.😡😡😡
 
Back
Top Bottom