ngoja jinsia ya ke waje maana wanaongoza kwa wivu.
Kwa hiyo hayo manung"uniko ni mtego...mmmmh
Wewe unajihangaisha kumuelewa mkeo? Unajipa kazi ya ziada ambayo hukuumbiwa. Kazi yako ni kumpenda tuuu, bhaaaas!
Halafu unamdaka na mada ya kuwa simu yake iliita, kwani hairekodi missed calls? Si angeangalia mwenyewe akaona. Manake ulitegemea akujibu vipi suala lako? Acha uchokonovu. Shaurilo!
Wasalaam wapendwa.......
Niko hapa home baada ya kutoka kijiweni kutafuta riziki nimejipumzisha.,
mara namuona - mama mtoto wangu anatoka kuelekea sokon(sio mbali na home) huku simu kaiacha mezan.
Mara namuona - mama mtoto anaingia na kapu la matunda na vitu vingine_
My take,..Je_ni sahihi kupokea simu ya mkeo/mumeo ikiita na kama yeye hayupo...?