Hili Shindano la TECNO Phantom 5 binafsi sijalielewa

Hili Shindano la TECNO Phantom 5 binafsi sijalielewa

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,396
Reaction score
9,264
Wakuu Habari,

Kuna hili shindano la TECNO PHANTOM 5, natumiwa Arifa na marafiki zangu niwapigie kura picha zao ili washinde Hiyo aina ya Simu, binafsi nimeshindwa kuelewa picha yako tu ndio inaweza kukupa hiyo simu au ni yaleyale ya akina JayMilionea na utapeli utapeli unaofanana na huo...Kama kuna mtu kapewa hiyo simu kwa picha yake kupigiwa kura nyingi atuambie hapa.
 
Back
Top Bottom