Hili penzi za mahondaw na smart 911 linakera sasa😂

Hili penzi za mahondaw na smart 911 linakera sasa😂

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
571
Reaction score
1,829
Kila muda cc mahondaw, hata uzi wa kuomboleza cc mahondwa, we ngoja siku nikiwashika pamoja👇🏻
 
Sasa mkuu wewe inakuhusu nini, au inakukera nini!

Si uwaache waendelee na cc zao!

Au waweke "Ignore List".

Na kesho Maxence Melo amesema kuna updates mpya zinakuja, huenda zikawa na option ya "Block", hautakaa uone cc zao tenaa!
 
Jamaa aliweka signature (cc mahondaw)
Inakuwepo chini kwenye kila post yake.. Ata hivyo we nae ni balaa mwanangu!
 
Back
Top Bottom