Hili nilishalijua kuhusu Harmonize...

Clouds wanachojua wanakutumia baadae wanakutema Yuko wapi aslay? Sikuizi nimeona hata ngoma za kiba hawapigi.Ila safari hii clouds wameshikwa pabaya na wasafi naona kitendo Cha mondy kuwasajili kitenge na edo kumwembe kimewaharibu kisaikolojia
Inategemeana na msanii mwenyeww,,,,huyo aslay kaangushwa na marioo pale cloudz....so Harmo ni mtu mwingine kabisa kwa hao madogo wote
 
Kwa kipindi kirefu clouds fm wamekua wakihaha kubrand wasanii wenye vipaji vikali ili kupata mtu ambae ataweza kutake over diamond platnumz..

Mfano hawakina Marioo, na wengine wengi.

So baada ya harmo kutoka WCB basi nilijua hapa clouds wanaenda kuchukua there best shot waliokuwa wakiihangaikia kwa miaka yote.

Sasa naombeni mkae mkao wa kushuhudia promo atakazokua anapigiwa harmonise hamtoamini.

Yani wanaamini kabisa the guy is going to take over diamond.View attachment 1237273
Huyu na nyimbo zake za kampeni anazoimba siku hz haendi popote.After 2020 atapotea vibaya sana kwenye ramani ya mziki.
 
Its true brother,,,lkn hyo haitakiwi kumfanya abweteke.....aongoze juhudi na maarifa zaidi kwenye kazi zake...

But tukumbuke Harmonise hajatoka pale ili kushindana na diamond.
Diamond mnamkosea heshima sana kumfananisha na mwanae harmonize au alikiba tunapozungumzia diamond platinum tunazungumzia kiumbe maarufu zaidi kuwahi kutokea Tanzania tokea Uhuru msisahau pia ndio icon ya taifa kwa sasa kimataifa hakuna anaeitangaza taifa kumzidi uyu kiumbe
 
Screenshot_20191018-152021.jpeg
 
kwa njia hiyo watakua wanazidi kumpandisha SIMBA
sababu mizizi ya harmo imetengenezwa na SIMBA
 
Kila zama na kitabu chake, mkubali tu zama za clouds bongo zimeshapita.. watajaribu sana ila hawatashinda
Sizani hata kama unajua vizuri entertainment industry ya Tanzania kwa sasa,bado clouds wapo juu kwa kila kitu,
Ubunifu,weledi,umakini.
Hata ukiangalia haya matamasha mawili ,wasafi festival na fiesta ,bado fiesta iko juu Sana kwa kila kitu ,wasafi imejengwa kumzungumka diamond tu
 
Ofcoz broo.....umetema facts tu hapo.....

But the problem is, watu pamoja na makampuni mbali mbali ya burudani watelitengeza swala la Harmo kutoka pale WCB liwe kama ni kutaka kushindana na Diamond.

Sio kweli.....wanamkosea sana Harmonise, pia wanamkosea sana Diamond

"Yani wanaamini kabisa the guy is going to take over diamond. "

Toka Diamond atabiliwe kushuka ni zaidi ya miaka 5,bado yupo.Harmonize ni clone ya Diamond,ila Diamond ana kitu extra ambacho harmonize hana.

Mondi ni completely package ya Entertainer,Master Jay ana kauli yake anasema "ni rahisi kumfundisha mtu kuimba lkn huwezi kumfundisha kuwa entertainer",ndio maana Mondi ana show zaidi ya 90 kila mwaka kwa miaka mitatu mfululizo.

Sasa soko lake limehamia ktk nchi zinazoongea kifaransa,kwa kifupi baada ya mwaka huku ukitoa nchi za kiarabu,Mondi ameshapiga show karibia 95% ya nchi zote za africa .Kila mwaka ana achieve kitu kipya .

Mondi ataporomoka Muda na wakati wake ukifika kama wasanii wengine wakongwe walivyoporomoka,lkn hamna atakayeweza kumshusha HAYUPO.
 
Huyu na nyimbo zake za kampeni anazoimba siku hz haendi popote.After 2020 atapotea vibaya sana kwenye ramani ya mziki.
Hayo mawazo ni kwasababu katoka WCB? Au hajui kuimba na kutoa burudani!!? Au sababu kaimba kumsifu magufuri!!??

Nijibu tafadhar
 
Sizani hata kama unajua vizuri entertainment industry ya Tanzania kwa sasa,bado clouds wapo juu kwa kila kitu,
Ubunifu,weledi,umakini.
Hata ukiangalia haya matamasha mawili ,wasafi festival na fiesta ,bado fiesta iko juu Sana kwa kila kitu ,wasafi imejengwa kumzungumka diamond tu
Wachache sana watakuelewa,,,,ni ajabu sana kucompare clouds na wasafi kwa sasa....labda huko mbeleni
 
Yaani hiki kitendo cha clouds kumbrand msanii fulani ili kumshusha mwingine hua kinawaharibia sifa sanaa.

Ujio wa social media umefanya soko kuwa huru sana kila mtu ana nafasi ni jinsi ya kutumia hizi platform vyema tu.. saivi msanii anaweza akapata mileage kubwa kwa kutumia social media pekee kama Instagram, facebook, whatsapp na utube .. tofauti na zamani ilibidi ulambe miguu ya ma DJ ili utoboe kimuziki.!
 
Ofcoz broo.....umetema facts tu hapo.....

But the problem is, watu pamoja na makampuni mbali mbali ya burudani watelitengeza swala la Harmo kutoka pale WCB liwe kama ni kutaka kushindana na Diamond.

Sio kweli.....wanamkosea sana Harmonise, pia wanamkosea sana Diamond
"watu pamoja na makampuni mbali mbali ya burudani watelitengeza swala la Harmo kutoka pale WCB liwe kama ni kutaka kushindana na Diamond."

Mbona walishatengeneza kitu kama hiki kwa Mondi,lkn nazani umeona mpinzani wake hali anayopitia.
 
Kwa harmonize kuna udiamond wooote, kuanzia namna ya muziki baada jinsi ya kucheza na soko la muziki.....ngoja tusubiri
Harmonize na Mondi wanafanana sauti tu.Ukija ktk ubunifu wa nyimbo hizi za kuchezeka Mondi ni mtu mwingine kabisa,kashafanya karibia aina 7 za mziki (Bongo fleva,Zouk,Vanga,Singeli,sebene,afropop,Hip hop,Mduara) na zote alifanikwa kutoa hit.
 
Yaaah walifanya hivi kwa alikiba,,,,,the problem is, jamaa alikua ana contribute effort ndogo sana kwenye kujiweka sawa,,,,mpka mashabiki wanaonekana kumchoka mana wanamkweza jamaa hakwezeki.....anaridhika haraka.

Sasa je, unadhani Harmo na Ali wanafanana karika spirit ya mapambano ya kimuziki!!?
"watu pamoja na makampuni mbali mbali ya burudani watelitengeza swala la Harmo kutoka pale WCB liwe kama ni kutaka kushindana na Diamond."

Mbona walishatengeneza kitu kama hiki kwa Mondi,lkn nazani umeona mpinzani wake hali anayopitia.
 
Ujio wa social media umefanya soko kuwa huru sana kila mtu ana nafasi ni jinsi ya kutumia hizi platform vyema tu.. saivi msanii anaweza akapata mileage kubwa kwa kutumia social media pekee kama Instagram, facebook, whatsapp na utube .. tofauti na zamani ilibidi ulambe miguu ya ma DJ ili utoboe kimuziki.!
True that mkuu....clouds wanashindwa soma alama za nyakati. Zamani walikuwa monopoly kwenye masuala ya burudani now days social media pamoja na brand new radio zimeleta ushindani kwenye industry ya mziki.
 
Back
Top Bottom